Broo usimpoteze mwenzako TIA uezi kuilinganisha na IFM hata kidogo ukweli acha ubaki kua ukweli IFM wako vizuri mnoo kuliko TIATIA ndo kila kitu ,jina LA chuo lenyewe linasadifu,content zao zipo vzr,ht ukiangalia prospectus yao
Habar wana jf...nimechaguliwa katika vyuo viwili TIA NA IFM course ya uhasibu....nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajir au kuajiriwa
MSAADA
IFM wako vizuri, japo sijasoma huko but huwezi kulinganisha na product za TIA
Program gani umechakuliwa?nenda udom
Kama hujasoma hapo unawezaje kulinganisha yani unaisifia product ya gucci kwa kusikia kwa watu wakati wewe hata kuivaa hujawai wala kuiona utomaso huoIFM wako vizuri, japo sijasoma huko but huwezi kulinganisha na product za TIA
TIA JAU BRO KIMBILIO LA WANA LILE ZAMA IFM MJINI HAPO MAMBO MWAKE.Habar wana JF
Niimechaguliwa katika vyuo viwili TIA na IFM course ya uhasibu, nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajiri au kuajiriwa.
Naombeni msaada