Recent content by young j

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Vipi mkuu ulifanikiwa kuhama?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Baba kanituma wachangamke sasa mana bila mbanga kuingia pale ni shida
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ni nzuri kwa kozi za afya na gharama ya chini kwa mwanafunzi

    Connection ya kupata vyuo inakuwaje? Na ni nchi gan ambayo ni affordable na inayotoa elimu yenye ubora?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Generator gani ni nzuri?

    Habari ndugu Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe. Karibun ndugu kwa ushauri
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni tano (5)

    Dar es Salaam
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni tano (5)

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana nimefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo niliyonayo. Karibuni ndugu.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naskia kuna wengine wameenda TMA
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ni lini nafasi za kujiunga JWTZ zinaweza kutolewa?

    Habari wanajamii forums. Nauliza ni lini nafasi za kujiunga na jwtz zinaweza kutolewa? Natanguliza shukran zangu
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tumieni VPN kama internet iko slow sana

    Na kwa watumiaji wa IOS tunafanyaje?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Occupational nursing
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    msaada kwenye hili wana jamvi
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Aliyewahi kufanya usaili kwa hii taasisi “OSHA” naomba aweze kushare uzoefu wake..natanguliza shukran za dhati.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Hongera, interview lini?
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Kada ipi wewe?
Back
Top Bottom