Recent content by young damwasatz

  1. young damwasatz

    Tatizo lolote la PC/device

    Nina shida na kioo cha laptop aina ya compact presario cq56
  2. young damwasatz

    Natafuta kioo cha laptop compact presario CQ56

    Habari wana jamvi nipo natafuta kioo laptop ambayo ni hiyo niliyoitaja hapo juu.pia kiwe cha led na ni nchi 15.6 kama sijakosea. Taja bei na namba ya simu tufanye biashara
  3. young damwasatz

    Nahitaji kuiitafuta simu yangu iliyoibiwa

    Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu. Hatua awali za polisi nimesha fanya.
  4. young damwasatz

    Ushauri juu ya ufugaji wa nguruwe

    Wakuu habarini, Mimi nimekuja kwenu iliniweze kupata mwongozo juu ya ufugaji wa nguruwe kwanzia kwenye kuandaa banda mpaka hatua ya mwisho ya kuuza.
  5. young damwasatz

    Jinsi gani ya kujua kutengeneza graphics pamoja na mabango?

    habari wana JF, Nikuwa nahitaji mnijuze namna ya kutengeneza mabango pamoja na maswala ya graphics design ni vitu gani niwenavyo na namna ya kuvitumia ASANTE! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. young damwasatz

    Naomba anayezifahamu Shule za Sekondari zilizopo Ubungo anisaidie

    Samahani wana JF nilikiwa nahitaji kuzifahamu Shule za Sekondari ambazo zipo karibu na barabara ya Morogoro road (Ubungo - Mbezi Luis) angalau sita kwa ajili ya project maalum ya kielimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. young damwasatz

    naomba msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha sita

    habari wana jamvi mimi naomba ushauri na msaada juu ya namna ya kupata kituo cha mtihani hapa Dar es Salaam na shule zipi zinazo toa huduma hii na gharama
Back
Top Bottom