Recent content by youk

  1. Y

    Mwema walipe polisi posho zao wafurahie sikukuu ya idd

    <br />jeshi hilo hadi sasa hawajapata posho hizo na huwa wanalipwa kabla ya tarehe 15 kila mwezi na askari hao wametishwa kutolipwa kwa kuwa wanapeleka malalamiko kwa wanasiasa <br
  2. Y

    Mwema walipe polisi posho zao wafurahie sikukuu ya idd

    Tokea kupitishwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi na naibu waziri kuwadanganya wabunge kuwa polisi wanalipwa posho ya tsh 150000 habari za kuaminika kutoka ndani ya
  3. Y

    Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

    Tafadhali Dr Slaa nakuomba uje jf utupe msimamo wa cdm kuhusu sakata la matatizo ya nishati ya mafuta,umeme na gas kwani mambo yamezidi mno na wananchi tumechoka saaaana,au mna makampuni ya mafuta?
  4. Y

    Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

    JK ni miongoni mwa wafanyabiashara wa mafuta unadhani atafanya nn? Wako wapi makamanda CHADEMA, DR SLAA, ZZK, MNYIKA, MBOWE, MDEE, NYERERE NK, washeni moto wtz waelewe.
  5. Y

    Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

    <br /> <br />
  6. Y

    Mbunge wa Ludewa (Filikunjombe) ana ushahidi wa Barua ya Jairo kusimamisha mradi wa umeme Liganga!

    kama ushahidi anao kwa nini asifikishwe mahakamani?na cag akamilishe uchunguzi haraka tumechoka na viongozi wabovu,kaza buti Fikikunjombe kwa manufaa ya wananchi wako.
  7. Y

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    wanajf huu msuguano wa chinichini kati ya viongozi wa juu wa cdm na huyu kibaraka shibuda hautaleta athari kwa cdm?nawasilisha,youk
  8. Y

    Ikulu imetumia sh bilioni 53 toka mwaka 2003

    kila mwaka hutengwa pesa nyingi za ukarabati wa ikulu,kwa mwaka huu ni tzs bilioni kumi,wanachokarabati ni nini?youk
Back
Top Bottom