Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

Nadhani tunakubaliana ila hatujaelewana. Rushwa imejaa Tanzania, ninachosema ni kazi ya serikali kuiondoa rushwa na sio kupanga bei.

Hiyo ya Dubai ndo sijawahi kusikia embu nijuze!

Nilisikia wanaenda kupumzika Dubai Weekend na kufanya shopping na Jumapili wanarudi. Bongo Tambarare kwa wengine!!!!
 
The issue hapa ni kuwa its tougher to do business in Tanzania than any country in East Africa

hampendi transparency na mnapenda rushwa sasa watu wakishatoa rushwa unategemea watarejesha vipi pesa zao?

Hilo ni kweli na mie tangu mwanzo silipingi hata kidogo ninachokipinga mie uhuni unaofanywa na wafanyabiashara wa mafuta. Huwezi kupandisha mafuta siku hiyo hiyo inavyopanda katika soko la kidunia (kwa madai bei ya mafuta imepanda duniani) halafu inaposhuka bei ya mafuta unakataa kushusha kwa kigezo kuwa rushwa, kodi ndio vikwazo.

Lazima utakuwa umeshatenga contingency fulani kwa yote haya ndio sababu nakubaliana na kobello kuwa kama bei June ilikuwa 2200 per litre sasa bei duniani imeshuka by 20% kwanini msiuze 1,760 including vitu vyote mnavyodai????
 
wanajf,

kama ni kilio cha watanzania kuhusu kero ya uhaba wa mafuta iliyotokana na mgomo wa wafanyabiashara ya mafuta; kimeonekana dhahiri na kusikika pia nje ya tanzania.

Watanzania hatuna sababu ya kuhangaika kutafuta mchawi wa mgomo huo, kwani ukweli wenyewe kuhusu huo mgomo upo dhahiri kama ifuatavyo:

1. wafanyabiashara wa mafuta (petroli, dizeli, kerosini, n.k, n.k…) wanajali faida kubwa kwa maslahi yao binafsi, hii inatokana na ukweli kuwa mara nyingi serikali ikikusudia kupandisha kodi na tozo mbalimbali kwenye mafuta wakati wa bajeti; wafanyabiashara hao haraka haraka hupandisha bei za mafuta hata kabla serikali haijatoa notisi rasmi ya kuanza kutumika kwa bei mpya. Unyama wa wafanya biashara hao umejidhihirisha wakati serikali ilipoamua kushusha bei baada ya kupunguza baadhi ya kodi na tozo kwenye mafuta, wafanyabiashara hao wakapandisha zaidi bei za mafuta badala ya kushusha kama wanavyofanya wakati wa ongezeko la kodi na tozo.

2. baadhi ya vigogo serikalini wana hisa kwenye makampuni ya mafuta hivyo, wana maslahi binafsi katika biashara ya mafuta, hii ndio inayoyapa makampuni ya mafuta kiburi na jeuri ya kufanya watakavyo kwenye nchi ya tz. Kama serikali ingekuwa na nia ya dhati kwenye bei ya mafuta isingeua tippa na tpdc ingepewa uwezo wa kununua mafuta kwa wingi (bulky procurement), nina imani wafanyabiashara hao wasingeringa na kutamba kama wanavyofanya sasa.

3. ccm inapokea misaada mingi ya michango kutoka kwenye makapuni ya mafuta kwaajili ya kuendeshea shughuli mbalimbali za chama hususan wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. Hivyo, serikali ya ccm haina nguvu za kudhibiti makampuni hayo kwa vile ni wafadhiri wao ambao nao wanalengo la kurudisha fedha walizo wekeza (return on capital invested) kwenye chama hicho.

4. wafanyabiashara hao nao wanajua kuwa jk hawezi kuwachukulia hatua kali dhidi yao kwani wengi wa wafanyabiashara hao ni mashahiba wake wa karibu naye ananufaika kutoka kwenye makampuni ya mafuta.
nawasilisha….

mafuta.jpg
mijitu yenyewe ndo hii hapa.
 
JK ni miongoni mwa wafanyabiashara wa mafuta unadhani atafanya nn? Wako wapi makamanda CHADEMA, DR SLAA, ZZK, MNYIKA, MBOWE, MDEE, NYERERE NK, washeni moto wtz waelewe.
 
Hilo ni kweli na mie tangu mwanzo silipingi hata kidogo ninachokipinga mie uhuni unaofanywa na wafanyabiashara wa mafuta. Huwezi kupandisha mafuta siku hiyo hiyo inavyopanda katika soko la kidunia (kwa madai bei ya mafuta imepanda duniani) halafu inaposhuka bei ya mafuta unakataa kushusha kwa kigezo kuwa rushwa, kodi ndio vikwazo. Lazima utakuwa umeshatenga contingency fulani kwa yote haya ndio sababu nakubaliana na kobello kuwa kama bei June ilikuwa 2200 per litre sasa bei duniani imeshuka by 20% kwanini msiuze 1,760 including vitu vyote mnavyodai????

sasamtu kashatoa over 40% pa pesa kwenye rushwa mnategemea atarejesha vipi hela yake?
 
Hawezi kushusha kwa sababu demand inawaruhusu kuuza kwa bei kubwa, suluhisho ni kuongeza supply (competition) ili bei iende chini.

Kwa mfano kama kweli mnaamini kuwa wauza mafuta wanauza kwa bei ambayo ni juu sana kuliko costs zao basi hii ni business opportunity kwenu, watu wajipange waingie kwenye soko la mafuta undercut wauzaji wa sasa kwa kuuza kwa bei ya chini zaidi, hii itavutia wateja kwako na kuwalazimu wauzaji wengine kushasha bei. Serikali iondoe vikwazo feki kwenye kuanzisha biashara hizi.
Hii ndo soko linavyofanya kazi, sio kwa serikali ambayo haijawahi kufanya biashara yoyote kwa mafanikio kuanza kupanga bei, motokeo yake ndo haya.

Biashara ni chombo cha kumaximize returns, kuwaita wafanya biashara greedy kwa vile wanatafuta profits sio sahihi, kutegeme mfanya biashara alete "uzalendo" kwenye biasahra yake ni mawazo potofu.
Kwanza kabisa kama unakumbuka late 2008/early 2009 kulikuwa na ubanizi wa mafuta Dar,baada ya EWURA kuamuru upunguzwaji wa bei baada ya bei ya soko la dunia kupungua kwa 27%.
Pili kuhusu excise tax ya fuel,I was wrong,that was just a promise as usual.
Wholesale kabla ya kupunguzwa ilikuwa 2137-retail cap ya 2206=69; minus transportation cost 10=59 shs as a dealer's margin.
Sasa hivi dealer's margin ni 57.5,plus najua kuna taxes zimepunguzwa.
Sasa niambie what's the difference from one month ago.
 
Hizi ndizo imani za kishirikina ambazo wengi wanazo na viongozi wenu wapo majukwaani kutamka hivyohivyo,
haakuna kitu kama hicho,

Faida kubwa ya haya makampuni ipo kwenye Lubricants ambako kuna, Importy, Excise and VAT plus other charges,

Ujiulize kwanini wauza OIL hawajawhi goma?

Ukiwa na hiyo mental ability hufai kutamka haya, kwani sasa wewe na mimi wote hatuna mafuta hasara ya nani,
Mbona hutafuti kazi ambayo mshahara wake ni sawa na au chini ya nauli unayotumia kwenda kazini?
stop no==-sense

People should know the reality and not being confused kama EWURA Walivyofanya,
Hakuna mjinga atakaye lilia margin kubwa mpaka agome????

Nimekuonyesha facts hapo juu unakwepa nini,kama huamini Uliza TRA je ni kweli au wongo,

Kwa nini na wewe usieende kurasini ukajaze mafuta kama wanavyofanya watumishi wa serikali, na hadi wanakuja kutuuzia kwenye VIDUMU.
Nani mwizi hapo, wao wanaingiza mafuta duty free kwanini wasiyasambaze kwa wenye vituo vya mafuta all these days????

Nani anafaida mwenye mafuta duty freee au mwenye depot amelipa duty/
A wise man think before posting utumbo
Nyie wote mnaongea vitu msivyovijua, unajua mara zote wafanyabiashara wanakusudia to minimise cost and maximise proft. Hata gharama zote za Diesel ingekuwa 1000 bado wangeuza bei wanayotaka wao. Acheni kupumbazika nyie ni wakati wakuwazomea hawa wafanyabiashara
 
sasamtu kashatoa over 40% pa pesa kwenye rushwa mnategemea atarejesha vipi hela yake?

Waliweza vipi kuuza bei ya juu wakati wamenunua mafuta kwa bei rahisi before? Rushwa imeanza leo? Bei ya sasa mafuta katika soko la dunia ni sawa bei ya mafuta 8 months before (according to the Wall Street Journal today).

Je miezi 8 iliyopita alikuwa akiuza mafuta bei gani kama sio Tshs 1500-1600 sasa anashindwa nini kuuza Tshs 1800 wakijumuisha na mabadiliko ya kodi yaliyoanzia july mwaka huu. Isitoshe alipokuwa akiuza mafuta Tshs 1500-1700 alikuwa hatoi rushwa????
 
sisi tumezidi:

rushwa

urasimu

mazingira magumu kufanya biashara

Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini

local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni

You've forgotten sheer INCOMPETENCE of staff at all levels which is the result of nepotism in employment!
 
Wengine wote naona hapa Michuzi wamefungua petrol station zao vipi BP ambayo vigogo wamo??????
 
Tafadhali Dr Slaa nakuomba uje jf utupe msimamo wa cdm kuhusu sakata la matatizo ya nishati ya mafuta,umeme na gas kwani mambo yamezidi mno na wananchi tumechoka saaaana,au mna makampuni ya mafuta?
 
Tafadhali Dr Slaa nakuomba uje jf utupe msimamo wa cdm kuhusu sakata la matatizo ya nishati ya mafuta,umeme na gas kwani mambo yamezidi mno na wananchi tumechoka saaaana,au mna makampuni ya mafuta?

Msimamo wa CDM kuhusu mafuta ni kuwa CCM iondoke madarakani ili CDM ipewe nafasi ya kuongoza nchi kwa kujali maslahi ya Watanzania
 
Hizi ndizo imani za kishirikina ambazo wengi wanazo na viongozi wenu wapo majukwaani kutamka hivyohivyo,
haakuna kitu kama hicho,

Faida kubwa ya haya makampuni ipo kwenye Lubricants ambako kuna, Importy, Excise and VAT plus other charges,

Ujiulize kwanini wauza OIL hawajawhi goma?

Ukiwa na hiyo mental ability hufai kutamka haya, kwani sasa wewe na mimi wote hatuna mafuta hasara ya nani,
Mbona hutafuti kazi ambayo mshahara wake ni sawa na au chini ya nauli unayotumia kwenda kazini?
stop no==-sense

People should know the reality and not being confused kama EWURA Walivyofanya,
Hakuna mjinga atakaye lilia margin kubwa mpaka agome????

Nimekuonyesha facts hapo juu unakwepa nini,kama huamini Uliza TRA je ni kweli au wongo,

Kwa nini na wewe usieende kurasini ukajaze mafuta kama wanavyofanya watumishi wa serikali, na hadi wanakuja kutuuzia kwenye VIDUMU.
Nani mwizi hapo, wao wanaingiza mafuta duty free kwanini wasiyasambaze kwa wenye vituo vya mafuta all these days????

Nani anafaida mwenye mafuta duty freee au mwenye depot amelipa duty/
A wise man think before posting utumbo

Nimeipenda hii. Hesabu kuwa nimekugongea senks.
 
Mkuu,

Even economist wameona kuwa kuna tatizo na free market economy, recent banking crisis na economic recession imewastua kuwa solution sio free market but kuwepo na some form of regulation kwenye soko ili kuzuia greedy suppliers and speculators kuharibu mwenendo wa soko mie nachokizungumzia kuwepo na msimamizi wa wauzaji na wanunuzi ili kuwepo na fairness and competition.

Mkuu hivi economic crisis ilisababishwa na kupanga bei ya vitu au ilisababishwa na ma-Banks kuwapa mikopo watu ambao hawawezi kulipa na kuwauzia mortgages watu ambao they cant afford (just to make quick dollars) Mkuu kilichofanyika did not make sense na watu walichokifanya kinakiuka maadili ya Bank na regulation inabidi siwepo na zipo kuangalia kwamba watu hawakiuki maadili na kudeal na illegalities..

Lakini hakuna sehemu ambapo wamesema tuanze kupanga bei (sababu everyone did it miaka ya huko nyuma) lakini waka-learn the hard way kwamba Price Control does not work....
 
Hilo ni kweli na mie tangu mwanzo silipingi hata kidogo ninachokipinga mie uhuni unaofanywa na wafanyabiashara wa mafuta. Huwezi kupandisha mafuta siku hiyo hiyo inavyopanda katika soko la kidunia (kwa madai bei ya mafuta imepanda duniani) halafu inaposhuka bei ya mafuta unakataa kushusha kwa kigezo kuwa rushwa, kodi ndio vikwazo. Lazima utakuwa umeshatenga contingency fulani kwa yote haya ndio sababu nakubaliana na kobello kuwa kama bei June ilikuwa 2200 per litre sasa bei duniani imeshuka by 20% kwanini msiuze 1,760 including vitu vyote mnavyodai????

Kwanini wauze 1,760 wakati demand inasema wanaweza kuuza 2,200 na mafuta yakaisha...?, Mkuu the only way ni kuongeza Supply and in so doing competition kuhakikisha watu wanagombania wateja na sio vinginevyo
 
watu wameshasema sana hawali hawa jamaa wa TRA hawaelewi jinsi ya kupiga panga kwenye chi inayo hitaji maendeleo na kuweza kusimama yenyewe. All their tax policies aim at hindering development, creating a unfriendly business environment and making life hard for its people.

Sielewi kwa nini hawamuoni huyo Mkullo ni tatizo kubwa sana katika uchumi wetu, the guy can not control the economy wala sidhani kama hana mbinu nyingine ndani ya koti lake. We need to rid this bozzo as soon as possible. Oooh-hoo shauli zenu.
 
Back
Top Bottom