Makonda kaanza na wengine watafuata,ulimsikia magu aliyosema hata mkewe naye atakamatwa toa ushirikiano tuu kukosa kuibiwa na mateja wa vizazi vyetu vya vijacho, wanaanza WAVUTAJI,WASAMBAZAJI,WATU WA KATI NA MAKOKODI utasikia WENGINE WAKUBWA TUU ZAIDI YA HAO WATAFUATA
Hii nchi tofauti sana manji AKIJITIA KUJUA sana,tunamwangushia zigo KUWA SIO RAIA wa tanzania.
Natuache ujinga hili swala si la mchezo mchezo,tuache USHABIKI na SIASA hapo tutafanikiwa kulipunguza kwa kiasi kikubwa sana.
Kama kweli ANATUMIA basi aeleze wapi ANAPOYANUNUA na kama ANAUZA aeleze...
Ukimuona mtu amesimama anatetea juu ya KUKAMATWA kwa hawa WATUMIAJI au WAUZAJI ujue huyo mtu ANAFAIDA NAYO au HASIRAHI nayo BINAFSI.
Mkuu MAKONDA usiangalie sura wala jina wote kamata.
Sasa watu wanaonekana kabisa kuwa wanatumia,unataka kuwatetea nn au ndio FUNIKA KOMBE WANAHARAMU APITE,
Mie sijamuelewa kabisa maana huu mtandao mkubwa sana watu na mipango yao ASIYE KUWEMO KUMBE NAYE YUMO,
Mwendo wa J mo KIMYA KIMYA.
MAKONDA FANYA KAZI YAKO LIOITAKA KUIFANYA WANATUHABIA SANA...
Tafuta app inayoitwa easly block,hii unaweza uka wablock watu wote pia unaweza kuchagua mtu mmoja mmoja wewe unayetaka kumblock asikusumbue.hii APP ipo vizuri sana na ni rahis sana kutumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.