Mashine ya bisi inauzwa

realsam

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
289
135
NAUZA MASHINE YA BISI, NIPO VINGUNGUTI, NI YANGU MWENYEWE C YA WIZI,
IMETUMIKA KWA MIEZI 5 TU.
BEI 250,000/=
$_35.jpg

PIGA- 0755803200/0658925969.
KARIBUNI.............

Specification:
Name: Popcorn Machine
Model: VBG-1608
Voltage:220V/50HZ
Power:1.3kw
Machine Size:56*42*68cm
Net Weight: 21kg
Package: carton and wooden shelf
Packing Size:64*50*78cm
Gross Weight: 28.3kg
 
MASHINE YA BISI INAUZWA, IMETUMIKA KWA MIEZI 5 TU.
250000/= Tsh. tu. TUNAWEZA KUONGEA PIA.
NIPO VINGUNGUTI. KARIBUNI.

_35-jpg.471035
 
Weka picha halisi ya hiyo mashine watu tuione ipo katika hali gani, mbona hii inaonekana kama downloaded photo
 
YAH NI DOWNLOADED LAKINI NDO YENYEWE.
Tuonyeshe vile ilivyo mkuu tujue iko kwenye hali gani,chakavu au vipi!! Sasa kuna tabu gani kuipiga picha ukaiweka ili tuithaminishe? Au unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?
 
HILO C TATIZO, KWA SS NIKO JOB, NITAUPLOAD HATA BADAE, MASHINE BADO NZIMA, WE KM UNAHITAJ UNAWEZA KUJA KUIONA.
 
NAUZA MASHINE YA BISI, NIPO VINGUNGUTI, NI YANGU MWENYEWE C YA WIZI,
IMETUMIKA KWA MIEZI 5 TU.
BEI 250,000/= View attachment 471035
PIGA- 0755803200/0658925969.
KARIBUNI.............

Specification:
Name: Popcorn Machine
Model: VBG-1608
Voltage:220V/50HZ
Power:1.3kw
Machine Size:56*42*68cm
Net Weight: 21kg
Package: carton and wooden shelf
Packing Size:64*50*78cm
Gross Weight: 28.3kg
Bado ipo mkuuu.
 
Back
Top Bottom