Recent content by Yoranda

  1. Yoranda

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB plz Mshahara mnatuwekea saa ngapi??
  2. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

    Benk ipi
  3. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

    Bado hata sasa natoka kuangalia
  4. Yoranda

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nikitummia unit 20 kila mwez nitakuwa kundi la watumiaji wa tariff ipi
  5. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Serikali isisitize kuvaa barakoa lkn zile za kushona kwa fundi pekee. Lkn pia utaratibu wa kunawa mokono ni ustaarabu wa kawaida haikupaswa kuudiscourage
  6. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamani natafuta thread pendwa iwapi
  7. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?

    Kweli?? Namuomnea kaka angu
  8. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?

    Tukumbushe alifanyanini
  9. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam inapanuka sana. We fikiria mwenyewe jambo hili

    Niwashauri wataalam na viongoz waache kujenga daraja za juu, wapanue miji nchi.bado kubwa
  10. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam inapanuka sana. We fikiria mwenyewe jambo hili

    Niwashauri wataalam na viongoz waache kujenga daraja za juu, wapanue miji nchi.bado kubwa Sana hii, wastage of resources
  11. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Ukijengea nyumba kwa hela ya kuhemea ni ujinga

    Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae? Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
  12. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Nataka kuiangalia mpira simba vs platenam kwenye simu msaada
  13. Yoranda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nipeni maufundi namna ya kushughulika na mtu wa kuzira

    Huyo anapenda kudeka aidha mkaukie au mbembeleze lkn kwa kiwango Chako usijibidishe sana..ukiona hana shukran basi kaa kimya...lkn akikutafuta more nafasi kidogo
  14. Yoranda

    JamiiForums Tanzania I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

    Natumia bolt kwa sasa
  15. Yoranda

    JamiiForums Tanzania I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

    Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo. Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta3 ya bei ninayolipa siku zote hata ikizidi au kupungua ni kias kidogo Sana. Cha kunishangaza nimetafuta Sana pa kusema hakuna. Uber drivers has...
Back
Top Bottom