Uko bank gani na je ulishajaza form ya account kuwezeshwa kupurchase online kama ulishajaza form na ukatumiwa secure code na ukaiverify card basi ikikataa tatizo account yako haina akiba ya kutosha.
pole sana ila kikubwa ambacho nakusifu umekuwa muwazi na dawa ipo ambayo itakuwa ufumbuzi wa tatizo lako nitumie namba yako ya cm kwenye imel hii ypspyz@gmail.com na siyo wewe tu kwa wote wenye tatizo kama lako karibuni sana
dira ya ccm si kuwanyonya wananchi na kusababisha maisha mabovu pia kazi ya ccm ni kutengeneza mafisadi bora ukawa ccm hamna sera ni watu wa kuigaiga vitu kutoka ukawa sasa ngoja mshtakiwe kwa kuchakachua neno m4c hamna jipya ninyi tena kama mnaakili msingem
uita lowasa fisadi wakati ccm...
mtanzania mwenye imani na ccm huyo hana akili kabisa na ana njaaa wengi wanaoshabikia ccm wanasumbuliwa na njaa kwa taarifa yenu ccm miguu chaliiii watanzania wanataka kukombolewa kupitia ukawa na kitakachowachinja zaidi ccm ni huo mfumo wa kubandika na kutangaza rais aliyeshinda kwa kila kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.