Lowasa adhalilishwa

Lowasa adhalilishwa

Lowassa nikama sanduku ambalo likitengwa kwenye mdahalo haliongei
 
Kilicho wasukuma nn mbona miaka yote mnakwepa midaharo? Au mmesahau uchaguzi wa juzi mlituma Kinana kwenye mdaharo ?
 
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.

Mdahalo wa nn wakati rais tunasubiri kumuapisha naye ni lowasa
 
Lowasa aachekwenda Hospital aje kwenye mdahalo hii mmeona wapi,Ajamzalilisha wala nn kaona mtamsumbua Mzee bure na wao wapo..
 
Hivi ukawa mkija kwenye mdahalo mna lipi la kuwaeleza watanznia,ufisadi wenu tunaujua,chama chenu hakieleweki kina dira gani,hatuwezi kuwaamini tukawapa nchi hata kidogo

dira ya ccm si kuwanyonya wananchi na kusababisha maisha mabovu pia kazi ya ccm ni kutengeneza mafisadi bora ukawa ccm hamna sera ni watu wa kuigaiga vitu kutoka ukawa sasa ngoja mshtakiwe kwa kuchakachua neno m4c hamna jipya ninyi tena kama mnaakili msingem
uita lowasa fisadi wakati ccm ndio mafisadi kuanzia ngazi za juu mpaka chini.
 
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.

Wewe jamaa hujitambui kabisa,kwani ata KWENU NYIE MAFISIEMU ALIYEOMBA MDAHALO NI SITTA NA SIO MAGUFULI...SASA KUNA UBAYA GANI UPANDE WA UKAWA ASIPOOMBA LOWASSA NA IKAWA MBATIA?...alafu tambua huyo lowassa unayemng'ang'ania ni mgombea hivyo yupo busy na kampeni na hana muda wa kufanya midahalo na nyie wapuuzi,tuseme mnajitoa #UFAHAMU SIO??...Nasema hivii awamu hii #MUMEKWISHA MAANA HAMNA PAKUSHIKILIA TENA...Teh! Teh! Teh!
 
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.

Sio kwamba Mbatia anataka kumsitiri Lowassa anayedaiwa kuwa hawezi kuongea kwa muda mrefu kwa sababu za kiafya?
 
hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha lowassa no. No. No. Haiwezekani mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio lowassa. Yeye mbatia ni nani? Inamaana lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?mbatia acha kumdhalilisha lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.

Lowassa anaogopa kulizwa mali zake kazitoa wapi??
 
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.

Hukumbuki kuwa mwaka 2010 Mheshimiwa Kinana alishiriki mdahalo wa wagombea urais kwa niaba ya Mhe Kikwete. Mzksaditz katika ubora wake, myopic views!!!!
 
Huyo mzee aende kwenye mdahalo??? Hivi mnataka mzee wa watu ajinyee mbele za watu????
 
Binadamu wote ni majeneza yanayotembea. Tell me something I did not already know.

SASA SIJUI NI KWA NINI TUNAPOMTUNUKIA FISADI PAPA LOWASSA HIYO SIFA YA KUWA JENEZA LINALOTEMBEA, WAPAMBE WAKE WANACHUKIa?
 
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.
it seems bitching is your middle name

achana na ukawa, komaa na ccm bidada

BTW, bado unauza?
 
2010 CCMwalikataa midahalo mpaka ngazi ya udiwani. Mpka mzee wa watu Tido akatoswa TBC1. Huu upako wa mwaka huu watoka wapi?
 
Back
Top Bottom