Recent content by yona m

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole sana kwa uhitaji huo mzuri lakini usikate tamaa bado unanafasi nzuri tu ya kuolewa na endelea kumwomba MUNGU.. na kumbuka kila jambo lina wakati wake,,,,,, lakini msingi mzuri wa ndoa takatifu ni kuishi maisha ya kujitunza kama binti na kama kijana wa kiume pia.... na MUNGU atakupa...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ugonjwa gani huu unitesao?

    Hatua ya kwanza ni kumwomba MUNGU,, usimuweke MUNGU kuwa wapili mkabidhi BWANA njia zako kwanza
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ugonjwa gani huu unitesao?

    NDUGU YANGU POLE SANA LAKINI YUPO ANAYEWE KUKUPONYA SASA.. NI YESU KRISTO PEKEE NDIYE AWEZAYE KUKUPONYA SASA, CHUKUA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA KAMA BADO HUNA YESU NA KAMA UNA YESU TENGA MUDA WA KUOMBA ATAKUPONYA
  4. Y

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Siku zote kura huondoa malumbano.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi.

    Kila mtanzania anajukumu la kuiombea nchi yetu ya Tanzania ili tupate viongozi sahihi ambao MUNGU amekusudia waiongoze nchi yetu ya Tanzania. Kwa awamu hii.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania GE2015 Prof. Mwandosya: Richmond na Escrow wakatwe urais CCM

    Wakatwe,,,,
  7. Y

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Mungu epusha ajali tanzania,,,
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Katiba

    Yaaa...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mapishi mbalimbali ya Karanga za kukaanga

    Pia ukitaka kuondoa harufu ya yai tia vanila au sigina ganda la limau then weka kwenye mkorogo wa yai
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Katiba

    Hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Nawasihi wabunge wa bunge tukufu la TANZANIA wafanye maamuzi sahihi kwa habari ya mahakama ya kadhi ,,,,mimi naona isiwepo kabisa.
Back
Top Bottom