Yeye alikuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu. Wakati uchafu wa aina hiyo ukijadiliwa bungeni yeye alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakipitisha uchafu kwa Kura zao. Anapaswa kula matapishi yake mwenyewe na kama watanzania tunafikiri haiwezekani mtu kula matapishi yake basi tutajutia uamuzi wetu wa...
JPM anaweza kujitoa kama alivyofanya kuhusu suala la Zanzibar. Kama kweli serikali inatumbua majipu mbona imenyamaza katika hili? Viongozi wetu waache unafiki na wawatendee haki wananchi wa Dar. Mbona Nairobi governor ni wa upinzani na mambo yanaenda vizuri?
Nchi za Rwanda, Kenya, na Uganda lazima kuipongeza serikali ya magufuli kwani vita walioanzisha dhidi ya serikali ya Tanzania wanaelekea kushinda. Lengo la hizi nchi tatu ni kuimarisha bandari ya mombasa na hivyo kuikandamiza Tanzania kiuchumi. Kwa kutangazwa wazi kwamba bandari ya Dar ina uozo...
Mawazo yako mjukuu hayafai kabisa kwenye jamii ya sasa. Mtaka maendeleo wa aina yeyote hawezi kuchekelea upinzani unapokosa nguvu katika nchi yoyote. Mpinzani ni yule anayekuonyesha ni wapi unakosea. Kwa sasa upinzani umenyamaza kwa kuwa mambo sio mabaya sana. Tuombe upinzani uongezeke nguvu ili...
Huyo meneja msaidizi namsifu kwa ujasiri wake. Huyo si mtu wa kujipendekeza anasimamia ukweli. Huyo hata kufukuzwa lazima serikali ifikirie mara mbilimbili. Tunahitaji viongozi jasiri si wakujipendekeza na kutojiamini katika fani zao. Hongera mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.