Kinachomsumbua Rais Mh. John Pombe Magufuli ni mikataba mibovu iliyoikuta!

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,692
Msaidie Rais wako atawale.

Wengi waweanza kuhoji Mh. huyu aliahidi hiki na kile katika kampeni mbona bado hajatekeleza?

Kwenye vyanzo vya mapato Bandalini,kodi za wafanyabiashara wakubwa na wadogo anazikusanya ila kwenye vyanzo vingine kama kwenye migodi ya madini na viwandani amekuta ni madudu.

Amekuta serikali imeingia kwenye mikataba mibovu ya kinyonyaji. Ninavyosema mikataba mibovu ni mibovu kwelikweli, mtakumbuka zile miswada iliyokuwa inapitishwa chapu chapu usiku wa manane na wabunge 33?

Miswada hii imezarisha sharia mbovu kweli kweli. Mikataba hiyo mibovu inaleta madhara kwa nchi nzima navyosema nchi nina maana watu wake na siyo ardhi kwani ardhi haina uhai.

Kila Mh. Rais anavyochungulia kwenye vyanzo vya mapato makubwa kama ya kwenye migodi ya madini na gesi asilia anakuta kuna mkataba mbovu.

Afanyeje sasa?

Kwa wale wapenzi wa Simba Sports Club nitawakumbusha club chenu kilishiriki mashindano ya club bingwa Africa mwaka 1974, waliwatoa Linale ya Lethoto, wakawatoa Mufurila wanderlers ya Zambia, wakapangiwa Heaths of Oak ya Ghana.

Mchezo wa kwanza walichezea Ghana pamoja na kushinda 2- 1 kulikuwa na mchezaji mmoja anaitwa Mohamed Pollo alikuwa anasumbua sana, kidogo tu kesha fika kwa Mambosasa golikipa, kidogo tu kawapita mabeki wote kafika kwa kipa Mambosasa na alikuwa anafanikiwa kuokoa hatari hizo.

Mwishowe Mambosasa akachoka akawabwatukia mabeki wake kwa nini wanamwachia winga Mohamed Pollo kila saa anasumbua? Wanafanya kazi gani? Beki wa kati merehemu Omary Cogo Mruya akamwuliza kipa Mambosasa ambaye naye ni marehemu " unaweza kudaka penati?

Kipa Mambosasa akasema sawaaa kuliko mnamwachia tu Pollo anatamba.

Basi mpira uliofuata Mohamed Polo akapangua ngome kama kawaida yake kufika kwa Chogo akamkata kiroho mbaya ikawa penati, Chogo akamwambia Mambosasa haya penati hiyo. Mungu siyo Athuman penati kupigwa.

Mambo sasa akaipangua na kwa rafu ile Mohamed Polo akawa amadhibitiwa.

Turudi kwenye mada Mh. Rais Kakuta mamikataba mabovu ya kinyonyaji kwenye vyanzo vya uhakika vya mapato hasa kwenye migodi ya madini,sasa je! aivunje ?

Wanasheria mko tayari kusimama kwenye mahakama za duniani kutetea?

WANASHERIA MKO TAYARI KUMSAIDIA RAIS ATAWALE?

WEEKEND NJEMA.
 
Kwanza a deal na walioandaa miswaada ya sheria mbovu za madini, awatumbue akiwemo Masaju. Kisha avunje mikataba halafu aandae mawakili wa UKAWA akina Kibatala, Lisu, Safari, Marando kwa ajili ya kupambana katika mahakama ya kimataifa, alafu avunje mikataba yooote mibovu.
 
Msaidie Rais wako atawale.

Wengi waweanza kuhoji Mh. huyu aliahidi hiki na kile katika kampeni mbona bado hajatekeleza?

Kwenye vyanzo vya mapato Bandalini,kodi za wafanyabiashara wakubwa na wadogo anazikusanya ila kwenye vyanzo vingine kama kwenye migodi ya madini na viwandani amekuta ni madudu
Amekuta serikali imeingia kwenye mikataba mibovu ya kinyonyaji. Ninavyosema mikataba mibovu ni mibovu kwelikweli, mtakumbuka zile miswada iliyokuwa inapitishwa chapu chapu usiku wa manane na wabunge 33? Miswada hii imezarisha sharia mbovu kweli kweli. Mikataba hiyo mibovu inaleta madhara kwa nchi nzima navyosema nchi nina maana watu wake na siyo ardhi kwani ardhi haina uhai.

Kila Mh. Rais anavyochungulia kwenye vyanzo vya mapato makubwa kama ya kwenye migodi ya madini na gesi asilia anakuta kuna mkataba mbovu.

Afanyeje sasa?

Kwa wale wapenzi wa Simba Sports Club nitawakumbusha club chenu kilishiriki mashindano ya club bingwa Africa mwaka 19974, waliwatoa Linale ya Lethoto, wakawatoa Mufurila wanderlers ya Zambia, wakapangiwa Heaths of Oak ya Ghana. Mchezo wa kwanza walichezea Ghana pamoja na kushinda 2- 1 kulikuwa na mchezaji mmoja anaitwa Mohamed Pollo alikuwa anasumbua sana, kidogo tu kesha fika kwa Mambosasa golikipa, kidogo tu kawapita mabeki wote kafika kwa kipa Mambosasa na alikuwa anafanikiwa kuokoa hatari hizo.

Mwishowe Mambosasa akachoka akawabwatukia mabeki wake kwa nini wanamwachia winga Mohamed Pollo kila saa anasumbua? Wanafanya kazi gani? Beki wa kati merehemu Omary Cogo Mruya akamwuliza kipa Mambosasa ambaye naye ni marehemu " unaweza kudaka penati? Kipa Mambosasa akasema sawaaa kuliko mnamwachia tu Pollo anatamba.

Basi mpira uliofuata Mohamed Polo akapangua ngome kama kawaida yake kufika kwa Chogo akamkata kiroho mbaya ikawa penati, Chogo akamwambia Mambosasa haya penati hiyo. Mungu siyo Athuman penati kupigwa Mambosasa akaipangua na kwa rafu ile Mohamed Polo akawa amadhibitiwa.

Turudi kwenye mada Mh. Rais Kakuta mamikataba mabovu ya kinyonyaji kwenye vyanzo vya uhakika vya mapato hasa kwenye migodi ya madini,sasa je! aivunje ? Wanasheria mko teyari kusimama kwenye mahakama za duniani kutetea? WANASHERIA MKO TAYARI KUMSAIDIA RAIS ATAWALE?
WEEKEND NJEMA.
19974
 
Mikataba mibovu aiache tu asije akaingia kwenye matatizo, maana huko atawakuta ccm, meremeta na wakubwa wengi tu
 
WALA HALIMSUMBUI.! ALIKUJA AKIJUA HATOLIWEZA NA HALIMSHUGHULISHI KABISA.! ANACHOJUA NI KUPANDISHA KODI NA GHARAMA ZA HUDUMA. NDIYO MAANA HADI HOSPITAL LICHA YA KUWA INAPOKEA WATU WENYE MATATIZO NAYO INAJISIFU KWA KUONGEZA MAKUSANYO. GESI, UTALII, NA MADINI KAMA DHAHABU, ALMASI, MAKAA YA MAWE, TANZANITE, BATI, CHUMA, ULANGA, URANIUM, NK., HAYA YOTE WAMEPEWA WAZUNGU NA WACHINA. BAJETI ITATOKA KWENYE KODI! INAKERA SANA.!
 
Wanasheria Mzee anauliza afyatue kwenye 18 ? Mbona tena mnanyamaza, kazi kuzunguzia pemebeni tu, Tundu lissu uko wapi? afyatue uko teyari kutetea kwenye mahakama za dunia?
 
Wakat anaunga mkono miswada hyo mikataba bungen alijua Raisi anayefata atatatuaje, kufikir kabla ya kutenda ni jambo jema zaid. Mungu akupe nguvu Magufuli maana ushakuw rais wang sina namna zaid ya kukuombea baraka hata kama sikuwa nataka uwe rais
 
Mi naona tujiandae kwa penati tu, ikibidi wanaosababisha usumbufu huu wavunjwe miguu, kisha penati, "kwani sh. ngapi?"
 
Pagumu sana hapo.

Hivi Rais si ana kitengo cha assassination hapo TISS, kwa nini hawa wasumbufu wanaodhulumu taifa kwa mabavu hivi asiwaamuru vijana wake wawapoteze kimya kimya.

Watu kama 100 hivi wakipotea kimya kimya kwa maslahi ya watu millioni 50 sio hasara kubwa sana aiseeee
 
Msaidie Rais wako atawale.

Wengi waweanza kuhoji Mh. huyu aliahidi hiki na kile katika kampeni mbona bado hajatekeleza?

Kwenye vyanzo vya mapato Bandalini,kodi za wafanyabiashara wakubwa na wadogo anazikusanya ila kwenye vyanzo vingine kama kwenye migodi ya madini na viwandani amekuta ni madudu
Amekuta serikali imeingia kwenye mikataba mibovu ya kinyonyaji. Ninavyosema mikataba mibovu ni mibovu kwelikweli, mtakumbuka zile miswada iliyokuwa inapitishwa chapu chapu usiku wa manane na wabunge 33? Miswada hii imezarisha sharia mbovu kweli kweli. Mikataba hiyo mibovu inaleta madhara kwa nchi nzima navyosema nchi nina maana watu wake na siyo ardhi kwani ardhi haina uhai.

Kila Mh. Rais anavyochungulia kwenye vyanzo vya mapato makubwa kama ya kwenye migodi ya madini na gesi asilia anakuta kuna mkataba mbovu.

Afanyeje sasa?

Kwa wale wapenzi wa Simba Sports Club nitawakumbusha club chenu kilishiriki mashindano ya club bingwa Africa mwaka 1974, waliwatoa Linale ya Lethoto, wakawatoa Mufurila wanderlers ya Zambia, wakapangiwa Heaths of Oak ya Ghana. Mchezo wa kwanza walichezea Ghana pamoja na kushinda 2- 1 kulikuwa na mchezaji mmoja anaitwa Mohamed Pollo alikuwa anasumbua sana, kidogo tu kesha fika kwa Mambosasa golikipa, kidogo tu kawapita mabeki wote kafika kwa kipa Mambosasa na alikuwa anafanikiwa kuokoa hatari hizo.

Mwishowe Mambosasa akachoka akawabwatukia mabeki wake kwa nini wanamwachia winga Mohamed Pollo kila saa anasumbua? Wanafanya kazi gani? Beki wa kati merehemu Omary Cogo Mruya akamwuliza kipa Mambosasa ambaye naye ni marehemu " unaweza kudaka penati? Kipa Mambosasa akasema sawaaa kuliko mnamwachia tu Pollo anatamba.

Basi mpira uliofuata Mohamed Polo akapangua ngome kama kawaida yake kufika kwa Chogo akamkata kiroho mbaya ikawa penati, Chogo akamwambia Mambosasa haya penati hiyo. Mungu siyo Athuman penati kupigwa Mambosasa akaipangua na kwa rafu ile Mohamed Polo akawa amadhibitiwa.

Turudi kwenye mada Mh. Rais Kakuta mamikataba mabovu ya kinyonyaji kwenye vyanzo vya uhakika vya mapato hasa kwenye migodi ya madini,sasa je! aivunje ? Wanasheria mko teyari kusimama kwenye mahakama za duniani kutetea? WANASHERIA MKO TAYARI KUMSAIDIA RAIS ATAWALE?
WEEKEND NJEMA.
Unajua watanzania ni watu wa ajabu sana!
Wakati kikwete anatawala mwanzoni mlisema raisi hana shida Ila watendaji ndio wanamuangusha!
Zilipoanza issue za ufisadi tukamsafisha tena na kusema madudu ya serikali ya Mkapa mpaka pale alipokuwa anaondoka na tumemchoka tukambebesha madudu yake yote aende nayo! Sasa zamu ya Magufuli kauli ni zilezile!
Magufuli ni mjumbe wa halmashauri kuu ya chama .... Ndicho kikao cha kuratibu na kuonesha dira ya chama tawala! Alikuwa na nafasi ya kujadili mambo ya aina hii!
Magufuli ni mbunge wa ccm, kabla ya muswaada kuamuliwa huwa wanakaa na kuchagua stand ambayo wote wanaisimamia... Alikuwa na nafasi ya kuupinga hili!
Alikuwa waziri na alikuwa na mchango ktk Baraza la mawaziri na hakujiuzulu wala hakkupinga kufanya kitu!
Sasa yeye ni raisi na amir jeshi Mkuu, anauwezo wa kuunda team ya wachumi, wanasiasa, wanadiplomasia, wanasheria na hata consultants toka nje waipitie mikataba iliyoandikika vibaya na kufanya uamuzi!
Kututaaka tumuunge mkono ni unafiki kwa yeyote aanayedhani hivyo!
Kumbuka tutapona tu kama mkataba umekiuka vifungu vingine vya sheria za kimataifa, Ila kama tulipiga pesa na kuweka rates za chini kuvunja mkataba huo ni upuuzi tu na itakula kwetu, ujinga wa kushindwa kunegotiaate hauwezi kuwa ndio excuse yetu!
Naomba tusimsamehe Magufuli, aliahidi kuwa anatambua madudu yote, ana uwezo wa kupambana na mafisadi... Huu ni wakati wake wa kutimiza ahadi na akishindwa yeye pia atakuwa jipu kwa kuweka mkataba wa uongo na watanzania¡

Alipiga push up kuutuaminisha kuwa hii strong! Acheni kulialia....tunasubiri matokeo chanya kwa kura zetu!
 
Tunamsubiri kwa hamu sana kumuona Rais wetu akielekeza macho hasa kwenye hili la gas. Ile mikataba 18 iliyosainiwa na China. Tusubiri, yetu macho.
 
Asante mkuu kwakuchambua vizuri.Niliwahi pia kujiuliza maswali kama hayo.Mimi.nadhani rais akae.na Jopo la wataalamu tujaribu kuvunja hata mkataba wa gesi kwanza au tuanze na madini.Hawa jamaa wanatuibia sana
 
Tuanze na la gas ndo rahisi kwanza, maana utekelezaji ndo bado mikakati inawekwa. Tena Rais angefanya faster kwenye hili, maana hii subiri subiri italeta kilio chetu na vizazi vyetu miaka ya mbeleni. Hili la madini, ni jipu lililozaa kidonda kisichopona muda mrefu. Hawezi kulitibu kwa uharaka.
 
Yeye alikuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu. Wakati uchafu wa aina hiyo ukijadiliwa bungeni yeye alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakipitisha uchafu kwa Kura zao. Anapaswa kula matapishi yake mwenyewe na kama watanzania tunafikiri haiwezekani mtu kula matapishi yake basi tutajutia uamuzi wetu wa kuirudisha CCM madarakani.
 
Nafikiri achote busara za mzee EL aliyekuwa anajinadi kuwa akiingia madarakani ataipitia upya mikataba yote. Nadhani anaweza kumwambia yeye angefanya nini baada ya kupitia mikataba hiyo. El nafikiri ni mzalendo wa kweli na anaweza kumpa hekima Rais wetu.
 
Akiweza kupitia mikataba mibovu na kuvunja au kuirekebisha ili iwe na tija katika Taifa hapo ndo dhamila yake safi itaonekana
Na atakuwa mzalendo wa kweli
 
Unajua watanzania ni watu wa ajabu sana!
Wakati kikwete anatawala mwanzoni mlisema raisi hana shida Ila watendaji ndio wanamuangusha!
Zilipoanza issue za ufisadi tukamsafisha tena na kusema madudu ya serikali ya Mkapa mpaka pale alipokuwa anaondoka na tumemchoka tukambebesha madudu yake yote aende nayo! Sasa zamu ya Magufuli kauli ni zilezile!
Magufuli ni mjumbe wa halmashauri kuu ya chama .... Ndicho kikao cha kuratibu na kuonesha dira ya chama tawala! Alikuwa na nafasi ya kujadili mambo ya aina hii!
Magufuli ni mbunge wa ccm, kabla ya muswaada kuamuliwa huwa wanakaa na kuchagua stand ambayo wote wanaisimamia... Alikuwa na nafasi ya kuupinga hili!
Alikuwa waziri na alikuwa na mchango ktk Baraza la mawaziri na hakujiuzulu wala hakkupinga kufanya kitu!
Sasa yeye ni raisi na amir jeshi Mkuu, anauwezo wa kuunda team ya wachumi, wanasiasa, wanadiplomasia, wanasheria na hata consultants toka nje waipitie mikataba iliyoandikika vibaya na kufanya uamuzi!
Kututaaka tumuunge mkono ni unafiki kwa yeyote aanayedhani hivyo!
Kumbuka tutapona tu kama mkataba umekiuka vifungu vingine vya sheria za kimataifa, Ila kama tulipiga pesa na kuweka rates za chini kuvunja mkataba huo ni upuuzi tu na itakula kwetu, ujinga wa kushindwa kunegotiaate hauwezi kuwa ndio excuse yetu!
Naomba tusimsamehe Magufuli, aliahidi kuwa anatambua madudu yote, ana uwezo wa kupambana na mafisadi... Huu ni wakati wake wa kutimiza ahadi na akishindwa yeye pia atakuwa jipu kwa kuweka mkataba wa uongo na watanzania¡

Alipiga push up kuutuaminisha kuwa hii strong! Acheni kulialia....tunasubiri matokeo chanya kwa kura zetu!
Magufuli hajawahi kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM
 
Back
Top Bottom