Recent content by Yoki kgl

  1. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Mwenye machine ya Samsung A5 2017

    Nahitaji machine ya A5 2017 tufanya biashara Nipo Dar tutafutane 0652682718 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

    Nazani imetoka maana kwa A30 tayari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Yaah hapa ni muhimu kila mtu kujikinga bila kusubili kuambiwa unakuta mtu anapiga kelele ya kua iwekwe lockdown lakin mda huo yupo mtaani hasa nae anasubili serikali iseme tutailamu serikal bure Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Lakini hapa kila siku maagizo yanatolewa kua kama huna sababu ya kutoka usitoke bak nyumbani na kama unajua madhara ya hii ni bora ubaki kuliko kusubili kuambiwa hakuna mtu atake kuja lukwambia baki ndani ni wew na familia kuchukua hatua mapema na kufuata maagizo yanayotolewa na wataalamu wa...
  5. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

    Tena ndio maana tunaishia kua maskini hatuendelei
  6. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Unyakyusani na sherehe za Krismasi na Mwaka mpya miaka ya zamani

    Hahahahahaha daaa
  7. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania SWALI: Kwani ni lazima mwanamme afike kileleni mbona wanawake hatufiki?

    Ili mchezo ukamilike lazima mwanaume apande Kilimanjaro asipo panda game bado mbichi kabisa
  8. Yoki kgl

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Umoja ni nguvu
Back
Top Bottom