Wanajf habarini za jioni, naombeni ushauri wenu katika hili please maana sijielewi,
Mimi ni mdada mwenye mchumba na soon this year tunatarajia kufunga ndoa, kabla sijampata huyu mchumba nilikuwa na boyfriend ambaye tuliachana pasipo ugomvi na nadhani hii ilichanngiwa na distance tulokuwa nayo...