Wanawake wasiozaa (wagumba)...

Wanawake wasiozaa (wagumba)...

I must admit the only Tanzanian woman with a blog that I've heard of is Mange. After clicking on the link I must ask, are you sure you would want a narcissistic woman to have children? I don't know who that is, but clearly she has a false sense of celebrity because she has a blog and an Instagram account. Some people simply weren't meant to have kids, and good for her if she hasn't had any. Those kids would be so embarrassed.




Man, that's what I was talkin' about.

And ain't she one ugly bi.tch?

Damn!
 
Mungu yupi huyo?

Aliyesema maneno haya katika biblia Mwanzo 1: 28. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
 
Ok. Nyani, hapo nimekuelewa. By the way, what's your opinion about all those middle-aged women posing like teens in the many blogs out there you get to see on the daily?
Hapo kwenye red: especially kwa wale wanaoishi nje ya TZ ,sio kwenye blog tu, unakuta mdada(mzee ki umri) anakuomba umpige picha, wakati unamzungukia usoni umpige picha anakwambia hapana, anakugeuzia MA-TA-KO halafu anayabinua ili picha itokee hivyo, hii tabia inanikera, wanawake wa umri huo kule nyumbani TZ hawana huu upuuzi.
 
inawezekan wakawa hawajapata mr right man or woman wa kuzaa nao.au bdo hawaja settle ktk maisha.mana ni vzr kujipanga mana watoto wanataka malez mazuri ya wazazi wte wawili.
 
Mtoto ni riziki toka kwa muumba, ila naomba nisiwaongelee
 
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.

Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.

Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?
Wewe utakuwa rafiki wa mange unamsema " stella tillya starlisha " .karibia wanawake wengi wenye blog ni wanawake wenye watoto .I have a blog na nina watoto 3 na wa 4 njiani .my blog is for people of substance and with money sina Muda na wambea wasio na pesa kelele tu
 
inawezekan wakawa hawajapata mr right man or woman wa kuzaa nao.au bdo hawaja settle ktk maisha.mana ni vzr kujipanga mana watoto wanataka malez mazuri ya wazazi wte wawili.

Wanawivu na Stella tillya starlisha
 
I must admit the only Tanzanian woman with a blog that I've heard of is Mange. After clicking on the link I must ask, are you sure you would want a narcissistic woman to have children? I don't know who that is, but clearly she has a false sense of celebrity because she has a blog and an Instagram account. Some people simply weren't meant to have kids, and good for her if she hasn't had any. Those kids would be so embarrassed.
Jestina George,Stella tillya,nuru the light,kiki,the Lilly melody and more hizo ndio blog Za wanawake wenye watoto including mine .kinakuhusu nini?stella Ana blog nzuri tu na Hana mtoto ni choice yake na pleeeeeese sio lazima kuzaaaaa.wabongo kwa kuchunguza maisha ya watu .pole umeachwa she is pretty than you don't worry you will get somebody else.Ndoa lini vile?
 
Blog ya tanzanite glamour.ndio inawaliza .stella mzuriiii kutwa mnamuuliza unapaka nini unanunua wapi nguo zako.she was born pretty mtazusha wewe maneno .wedding bells around the corner utajinyonga
 
Hii topic ya kipuuzi sana...inaonyesha kwamba wanaume wengi bado wanafikiri kazi ya mwanamke ni kuzaa tu, na ukimwona bila mtoto ndo unamdharau. Kwanza kuzaa au kutozaa ni chaguo la mtu - ukimwona mwanamke ambaye hajazaa inakuuma NINI? Pili afadhali kuna watu sahivi ambao wameamua kutozaa, kwa sababu kuna binadamu wengi sana duniani na idadi yetu inatakiwa ipungue sana. Kwa hiyo mtu akikataa kuzaa mimi naona kuna afadhali. Lakini upuuzi mkubwa ndo kufikiri kwamba mwanamke bila mtoto sio mwanamke.
 
Acha uwongo bana. Kama mwanamke wa Kitanzania, you surely don't have that prerogative. That choice is never in your hands, unless, again you're a lesbo.

Aaaghrr yaani natamani nikuone nikuchape makofi angalau ma3, hivi kwani lazima kila mtu kuzaa? Haya nenda kazae nao basi au nenda kwenye hizo blogs waambie wazae usituchoshe hapa
 
Hii topic ya kibaguzi na inaingilia maisha ya watu! Naomba ifutwe..........!
 
Kwa hiyo utamaduni wa Kiafrica unaruhusu watu kuwa gay.
Anyway kuzaa au kuwa na familia ni chaguo la mtu.
nafikiri hayo uliyoyasema ni majaaliwa ya Mungu hayapo ndani ya uwezo wa binadamu, waweza taka mke/mume usipate waeza taka zaa lakini hauna capcity..so ni majaaliwa ya Mungu...over
 
Back
Top Bottom