Recent content by yogan1

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Kwa maoni yangu ni kuwa shule za binafsi ni kama biashara nyingine tu.. Serikali iboreshe shule zake ili wazazi wawe na uchaguzi wapi wawapeleke watoto wao! Ikiwa hivyo ada za shule binafsi zitashuka kabisa na hata shule nyingine kufa!
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Ili niuma sana nilipo msikia
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa!!

    Nina 150 miezi 6 ndg
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa!!

    Maji ya kisima au dawasco?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natamani kukutana na Rais mstaafu Dr. Kikwete, inawezekana kumtembelea Msoga?

    Ni Rais wa awamu ya nne ndg naona una kiwewe kweli cha kuonana na rais wako. Haya wanaojua wanakuja
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi wachawi hawawezi kuiroga Serikali?

    Na kweli mpaka siku urogwe ndo utaujua! Vipo vingi tu havionekani lkn tunaviamini. Uchawi upo hata vitabu vitukufu vinasema. Endelea kutafiti utajua haya nisemayo.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Hivi kama ile katiba mpya ingepita leo kila mwananchi angeenda kuishtaki hii serikali na wangeshinda kesi sijui ingekuwaje!
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mo Ibrahim Ni Wabaguzi?!, Haiwezekani, Tanzania, Tufanye Mazuri Mengi Lakini Hawayaoni?!.

    Je ww ungesema tumejitahidi wapi? Binafsi sioni popote tunapohitaji kupongezwa!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Top 10 Aiports chafu Afrika: Dar es Salaam inashika nafasi ya nne

    Tanzania tunawekwa kundi moja na nchi zenye vita why??? Kweli cc ni watu wa ajabu kabisa!
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali za mitaa ndizo za wananchi

    Nimefuatilia kwa makini na kuona kwamba kama tunataka maendeleo ya haraka ni lazima serikali za mitaa zipewe uwezo wa kutatua kero nyingi zinazowakumba Wananchi. Tunashuhudia barabara zinahitaji kufukiwa au kukarabati mashimo madogo tu lakini utashangaa mpaka mashimo yawe makubwa ndipo gharama...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Ukitafakari kwa kina utamuelewa anamaanisha nn uandishi mahiri huu.Wengi wa wanahabari hawajui kuwa siku moja wanaweza kuwajibika kwa habari zao!.Haya ahsante Ahmed Rajab
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Jokha Kassim

    Na haya pia mnayalete humu na kuchangia?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Gen Davis Mwamunyange: Acha kulitia aibu Jeshi letu (JWTZ)

    Dah unamcho makali kama mwewe aysee! Atakuwa ameshaipata habar hii!
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Report Nini Inafuata ?

    Mjadala tu
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Makonda, Kubenea na Isango on Star Tv juu ya yaliyotokea Ubungo Plaza

    Tumelogwa na nani??
Back
Top Bottom