Recent content by yoelbn

  1. yoelbn

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU EPSON PRINTER L386 WASTE INK RESERT COUNTERS ZINAHITAJI RESERT

    tafuta mwenye nayo iyo software akupe ila hasa kwa mafundi printer
  2. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napiga windows kwenye PC ya lenovo inagomea kwenye partition

    sina hard disc kaka ngoja nije jaribu peleka kwa fundi tu nione ka ni hard disc ni mbovu ninunue nyingine tatizo mafundi wengi makanjanja
  3. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napiga windows kwenye PC ya lenovo inagomea kwenye partition

    ndio na zamani ilikua inatumia iyoiyo na nmejaribu window nyingi tu ila inagoma
  4. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napiga windows kwenye PC ya lenovo inagomea kwenye partition

    Msaada nina laptop yangu aina ya lenovo ilikua inagoma kuwaka ikabidi nipige window ila nikiwa napiga window inakuwa nzito inakaa muda mrefu kwenye window is starting...ikivuka inakuja kugoma kwenye expanding file...na nikitumia flash inashindwa kusoma partition msaada hapo....nipo Mwanza kwa...
  5. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    sio ajabu ila asilimia kubwa ya wakulima ni wakipato cha chini ha wanasubili miezi 6 ili wavune sa iyo miezi wanayosubili ndo wanaishi kwa mikopo na kuuza mahindi na wanunuzi ni wajanja wanakukopesha ukivuna unawalipa huna jinsi mnaitaji mboga na mahitaji madogomadogo usipouza ayo maindi...
  6. yoelbn

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    JIBU NI 15 FILIMBI 2 MTU 3 VIATU 10
  7. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Jipatie vifurushi nafuu

    nicheki kwenye iyo namba kaka
  8. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Jipatie vifurushi nafuu

    ila sio wote wanavyo ivyo
  9. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Jipatie vifurushi nafuu

    PATA VIFURUSHI VYA VODA KWA BEI NAFUU WIKI 1)DAK 500 KWA 4000 2)GB 4 KWA 5000 3) DAK 70 MITANDAO YOTE KWA 4000 MWEZI 1) DAK 2000 KWA 16000 2) GB 16 KWA 22000 3) DAK 900 MITANDAO YOTE KWA 16000 4) DAK 300voda DK 20yote SMS BILA KIKOMO KWA 13000
  10. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Kurudisha picha zilizofutika kwenye memorycard ya camera

    Msaada kwa wenye uelewa na ili swala nlipiga picha kwenye cannon D90 nkachomoa memorycard nkaweka kwenye computer ili nikopi picha ikasoma afu ikatoka ikasoma tena picha 8 kati ya 80+ zilizokuwemo kama kuna njia ya kurudisha izo picha naomba mnisaidie ni za graduation Sent using Jamii Forums...
  11. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Hhhhh poapoa kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Samaki magu kabana mno asee ukikutwa nayo ka bangi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Inategemea na hali mkuu ila ni kuanzia 120+ hali ikiwa nzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  14. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Asante kwa ushauri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. yoelbn

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Nataka kuwa natoa dagaa kisiwani naenda uza kahama kama kuna mwenyeji uko anafanya iyo biashara au ka kuna mwenye uelewa juu ya hiyo biashara kwa maeneo ayo naomba maelezo bado nipo kwenye research Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom