Msaada: Napiga windows kwenye PC ya lenovo inagomea kwenye partition

Msaada: Napiga windows kwenye PC ya lenovo inagomea kwenye partition

yoelbn

Member
Joined
May 31, 2017
Posts
17
Reaction score
4
Msaada nina laptop yangu aina ya lenovo ilikua inagoma kuwaka ikabidi nipige window ila nikiwa napiga window inakuwa nzito inakaa muda mrefu kwenye window is starting...ikivuka inakuja kugoma kwenye expanding file...na nikitumia flash inashindwa kusoma partition msaada hapo....nipo Mwanza kwa sasa kama kuna mtu mwenye ujuzi wa hilo yuko Mwanza naweza kumfata anisaidie
 
ndio na zamani ilikua inatumia iyoiyo na nmejaribu window nyingi tu ila inagoma
Kuna uwezekano wa hard disc kuwa na shida. Kama unayo hard disk nyingine iweke na ujaribu tena
Pia kama hiyo setup iko kwenye CD, upo uwezekano wa kua mlango wa CD wa computer yako umepunguza uwezo wa kusoma files kwenye CD yako, hivyo napendekeza utumie flash yenye bootable image ya window unayoihitaji.
 
sina hard disc kaka ngoja nije jaribu peleka kwa fundi tu nione ka ni hard disc ni mbovu ninunue nyingine tatizo mafundi wengi makanjanja
 
Back
Top Bottom