Recent content by Yoden

  1. Yoden

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Magufuli anaongoaza Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Ujenzi nchini

    Mbona uchaguz bado sn jamani
  2. Yoden

    JamiiForums Tanzania Dar: Moto wazuka Magorofa ya Mwenge karibu na TRA

    Wakuu mliokaribu pambaneni kuzima. Fire bongo wanakuja mwishoni kuuza sura kwenye vyombo vya habari. La sivyo mtakuta majivu tu.
  3. Yoden

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Radi yaua Ng'ombe 22 wenye thamani ya mamilioni ya pesa

    Leo nya Leo nyama itakuwa bei chee kweli kigoma. Nashauri wanakigoma leo ndo siku ya kula nyama choma kama hujawai. Bahati haiji mara mbili.
  4. Yoden

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba kujua ni vitu gani vinafanya mtu kuzaa watoto warefu, Nafikiri wamarekani wengi sana ni warefu

    Mjiangalie watu wafupi mtapigwa na madem zenu coz mnachotaka sivyo mlivyo. So ili wawalizishe mnachotaka watachomekea mbegu za warefu ili ulizike. Jikubali.
  5. Yoden

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mabasi ya mwendo kasi UDART yachunguzwe yatakuja kusababisha mauaji ya kimbari

    Mchina anatafuta hela. Hana utani.
  6. Yoden

    JamiiForums Tanzania Maana ya Uhuru na uwepo wake

    Shetani awaachie watu uhuru wao. Anampango wa kukaanao mbaka lini.
  7. Yoden

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa madereva wa malori waendao Afrika kusini

    Shukrani.
  8. Yoden

    JamiiForums Tanzania Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

    Mim nko ubungo naenda dom. Ntawajulisha kama ni ajali au ni matengenezo ya awamu ya tano.
  9. Yoden

    JamiiForums Tanzania Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

    Bongo kuna muvi nying sana. Kifupi huwa nawashangaa wanaoangalia muvi za nje ya nchi.
  10. Yoden

    JamiiForums Tanzania PICHA: SGR Tunnel ilikuwa Ulaya sasa ni Tanzania.

    Utani utani tanzania ndo inaondoka hivyo.
  11. Yoden

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

    Mbona hujaweka no. yake tukusaidie kumwelekeza. Fanya hivyo basi tumeguswa kukusaidia.
  12. Yoden

    JamiiForums Tanzania Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu

    Ho Hongera kwa kubadirika mkuu. Wachache wanaweza kuwa ushuhuda kama ww.
Back
Top Bottom