Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

Kuna magari makubwa mawili yamegaribika katika ya temboni na mbezi mwisho
 
Nafikiri vitu kama hivi ndio vilipaswa kuwa vipaumbele ktk Nchi yetu badala ya "Birds"ambazo uhitaji wake unagusa wananchi wachache ambao wanajimudu





















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Kero ya jiji la Daslamu ni Joto na Foleni barabarani
Hivi vitu viwili vikipungua nitakuja huko


Wakazi wa Dar, siku ya kiyama Mungu hatawachoma moto wale wakosefu, sababu joto la Dar, msongamano wa watu na magari na hewa ya oka kutoka kwenye magari (cabon monoxide pollution) ni adhabu tosha mtu kuweza kusamehewa adhabu ya jehanamu, 🤣🤣🤣🤣
 
Huoni barabara ilishaanza kuongezwa upana kuanzia Kimala hadi Kibaha kwa phase 1!?

Acheni/punguzeni lawama za kike kike enyi walalamishi na wapinga kila kitu.
Acha majibu ya kunya mkuu ,kwanza hata kuandika hujui,Kimara!!!Kimala
 
Wakuu

kwa pamoja tujadiliane nini haswa kifanyike kupunguza foleni au msongamano mkubwa was magari kuanzia ubungo hadi mlandizi ..

Barabara hi inaongoza kwa msongamano wa magari kupita kiasi katika nchi yetu

Je mamlaka husika zilaumiwe kwa kushindwa kupunguza msongamano huu.

Muda huu foleni imeanzia hapa kibaha na tunaambiwa folen imefika hadi ubungo barabara imefungamana magari wengine imetulazimu tuzime magari ili kwenda sawa na uchumi wa awamu hii

Inasikitisha sana foleni imejaa hadi barabara za mitaani.
Magari mengi sana ya mizigo yapata hitlafu na kuziba njia.. nadhani kuna pepo la kuharibu magari
 
Hiyo barabara, nyakati za jioni ni hatari sana...

Mabasi, malori, daldala, gari binafsi zote humo humo, foleni yake siyo mchezo...


Cc: mahondaw
 
Jumamosi ni balaa inasababishwa na malori kutembea weekend kuhofia trafiki siku za kazi kuwa wengi barabarani.Malori yalizimishwe kuondoka siku za kazi na siyo mengi kuondoka jumamosi.
 
Sababu za kuwepo foleni ni nini?

Ova
 
Kuna ajali au????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] unaweza tamani ushuke utembee
Mim nko ubungo naenda dom. Ntawajulisha kama ni ajali au ni matengenezo ya awamu ya tano.
 
Kiboko ni njia ya Kuelekea au kwenda BAGAMOYO yaani ni taabu tupu.
 
Wakaz wa mbez mwisho wanapata tabu sana... Kuanzia kimara ikifika jioni foleni yake sio ya nchi hii..
 
Dar Es Salaam ni mkoa mdogo sana kuliko yote Tanzania bara lakini unaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi.

Ianzishwe kampeni ya kuhamasisha watu kurudi mikoani ili kupunguza adha kama hizi za foleni, magonjwa na mafuriko..
Sio lazima warudi mikoani. Geographia ya mkoa wa Dsm iongezwe kwa kumega baadhi ya maeneo ya mkoa wa pwani then baadhi ya ofisi au shughuli muhimu zipelekwe huko nje ya mji.
 
Nadhani siyo sahihi kila mtu amiliki gari.
Lakini pia inawezakuwa sahihi.
Kuna familia zina uwezo, baba ana gari lake, mama gari lake, watoto wawili wakubwa kila mmoja ana gari lake. House girl mwenyewe yuko katika mpango wa kununuliwa vitz ya kuendea gengeni.

Kero inakuja hapa, wanataka kwenda kibaha kwa babu yao, badala waingie ndani ya gari la baba yao kwakuwa ni kubwa na linayo nafasi ya kutosha. Kila mtu anataka aende na gari lake, (foleni inatengenezwa hapa).
Baba kaweka gari barabarani
Mama pia
Kaka pia
Dada mkubwa pia kaingia na gari barabarani.
Familia moja tu imeweka magari karibia 5-6 bila sababu za msingi.
Wakati wote hao wangepanda gari ya mzee na kufika kibaha kwa babu yao.
Narudi
Ni asilimia ngap ya familia zenye uwezo wa kufanya hivi?? Miundombinu ni tatizo, tusubiri barabara ikamilike labda inaweza kuwa na msaada
 
Kero ya jiji la Daslamu ni Joto na Foleni barabarani
Hivi vitu viwili vikipungua nitakuja huko
Ianzishwe programu maalumu ya kupanda miti katika maeneo ya wazi ili kuweza kudhibiti tatizo la joto. Mfano lile eneo la pale mbezi lililo kati ya njia iendayo ubungo na ile iendayo Stendi ya chini

Pili mamlaka husika zipige marufuku ujenzi holela wa makazi unaosababisha pasiwe na mpangilio maalumu wa parking za magari.
 
Back
Top Bottom