Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanoikwamisha juhudi za raisi wamechomoa betriHabari wakuu,
Kuna moto unawaka Magorofa ya Mwenge, yanayoitwa Magorofa ya Jeshi pale karibu na TRA.
Zima moto bado hawajafika, na moto imazidi kusambaa..
View attachment 1197462
Ghoroma kama hili halina system za maji ya kuzimia moto kwa maana ya Hose rail hapo chini au kwenye corridors au system yeyote ya fire karibu ya jengo kiasi kwamba connection inaweza tu kufanyika hapo karibu na hata raia wa kawaida tu akapambaan na huo moto..
Masikhara na na kutowaza mbali kuna siku tunaweza kuunguza mji kama sio jiji, Watu wa zimamoto hebu acheni mifumo ya kizamani jaribu kuwa na mifumo mipya ya kupambana na mioto, maeneo ya miji yanatakiwa yawe na connection za maji ya kuzimia moto ambayo mtachukulia kwenye line za DAWASA, with your system permanent pressurized na kwa case kama hizi hata raia wengi wanakuwa trained na wanaweza kufanya kitu huku wakiwasubiri mkiwa mnakuja.. Pia anzisheni vituo vya fire brigade kwenye maeneo yenye msongamano kama Sinza, Manzese, Temeke, Mbezi nk na sio kutegemea mtoke mbali huko muende kwenye tukio..
Wajengewe mapya tu maana hayo yamechakaa sana.
Afu kwanini wanajeshi na polisi nyumba zao ni chafu
Tofauti na wale wavaa Kaunda
Hata mie nlitaka kusema hivo hivyoooohayo magorofa ni machafu sana
Kaka natamani nikujibu ila nahisi kama hutanielewa.Mimi ni mzimamoto by professional.Changamoto zetu ni nyingi sana ila mamlaka husika hautiliwi maanani na serikali.Tanzania bara ukichukua mikoa yake yote total yake hatufiki 2500(man power ni ndogo).
Hydrant ni chache sana na kiuhalisia ata zilizopo nyingi zake idara ya maji wamekua wakizichezea(mbovu hazifanyi kazi).
Firetender tu ni kiama kwa baadhi ya mikoa na wilaya na hata zilizopo ni old model tena misaada tu toka Ujerumani na Uchina.
Tuna mahitaji mengi sana ila hatupewi support kwa sababu hatutumiki direct kwa wakulu .
Nashindwa pa kuanzia na kumalizia ila amini kua fireman ni taaluma nzuri sana na ngumu pia ila kibongo bongo bado sana .Airports ngapi ndege zinatua na hakuna hata kipande cha fire horse tu kiwanjani inauma ila najipanga nitakuja eleza vizuri haya hapa.
Pia nina wazo la kuandika barua ya wazi imfikie Mheshimiwa wa Chato moja kwa moja pengine kuna vitu anaweza vitatua.Tupambane mkuu nchi isogee mbele
Haaa halafu wewe eti machafu, ila yamechoka balaa ukiingia mule duu hatarihayo magorofa ni machafu sana
Marehemu kibonde aliwshauri wayapige rangi wakamletea omahayo magorofa ni machafu sana
Manka uliingia humo kufanya nnHaaa halafu wewe eti machafu, ila yamechoka balaa ukiingia mule duu hatari
daaNilipoona gari na bajaj in red nikadhani fire wadogo wametangulizwa
Ghoroma kama hili halina system za maji ya kuzimia moto kwa maana ya Hose rail hapo chini au kwenye corridors au system yeyote ya fire karibu ya jengo kiasi kwamba connection inaweza tu kufanyika hapo karibu na hata raia wa kawaida tu akapambaan na huo moto..
Masikhara na na kutowaza mbali kuna siku tunaweza kuunguza mji kama sio jiji, Watu wa zimamoto hebu acheni mifumo ya kizamani jaribu kuwa na mifumo mipya ya kupambana na mioto, maeneo ya miji yanatakiwa yawe na connection za maji ya kuzimia moto ambayo mtachukulia kwenye line za DAWASA, with your system permanent pressurized na kwa case kama hizi hata raia wengi wanakuwa trained na wanaweza kufanya kitu huku wakiwasubiri mkiwa mnakuja.. Pia anzisheni vituo vya fire brigade kwenye maeneo yenye msongamano kama Sinza, Manzese, Temeke, Mbezi nk na sio kutegemea mtoke mbali huko muende kwenye tukio..
Wakiwa barabarani huwezi amini wanatoka mule na kijani kibichi zaoHata mie nlitaka kusema hivo hivyoooo
Yani pale watu wanaokaa mle huwa siwasomi kabisa wanaishije mazingira machafu kama yale....
Samahani lakini
Kuna ndugu zangu walikuwa wakiishi humo Mungu saidia walihama 2016Manka uliingia humo kufanya nn
Jengo kama hilo kwa kawaida mashariti ya serikali lazima likaguliwe na zimamoto na liwe na vifaa vya kuzimia moto kuanzia ile mitungi ya kuzimia moto hadi bomba la 'presha' ulilosema.Ghoroma kama hili halina system za maji ya kuzimia moto kwa maana ya Hose rail hapo chini au kwenye corridors au system yeyote ya fire karibu ya jengo kiasi kwamba connection inaweza tu kufanyika hapo karibu na hata raia wa kawaida tu akapambaan na huo moto..
Masikhara na na kutowaza mbali kuna siku tunaweza kuunguza mji kama sio jiji, Watu wa zimamoto hebu acheni mifumo ya kizamani jaribu kuwa na mifumo mipya ya kupambana na mioto, maeneo ya miji yanatakiwa yawe na connection za maji ya kuzimia moto ambayo mtachukulia kwenye line za DAWASA, with your system permanent pressurized na kwa case kama hizi hata raia wengi wanakuwa trained na wanaweza kufanya kitu huku wakiwasubiri mkiwa mnakuja.. Pia anzisheni vituo vya fire brigade kwenye maeneo yenye msongamano kama Sinza, Manzese, Temeke, Mbezi nk na sio kutegemea mtoke mbali huko muende kwenye tukio..
iundwe tume kuchunguza