TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,744
- 21,194
Pamoja na ndege yetu kushikiliwa, safari inaendeleo na ndiyo hiyo katika muonekano huo.
Nimevutiwa na aina hii ya kupitisha reli ndani ya mlima ilikuwa naiona huko kwa mabeberu but soon uso kwa uso hapa hapa Nyerere land.
Big up kwa mafundi wa kitanzania mnaoingia kwenye historia kupitia ujenzi huu.
NYONGEZA KWA MCHANGIAJI.
soma content kwa kuelewa na kugundua nini mtoa mada amelenga.
➡Hiyo tazara inatumia umeme?
➡Hiyo tazara ni ya mwaka gani?
➡Hiyo tazara ilitumia kodi ya nani kujengwa?
➡ Hiyo tazara inatumika kwa nchi ngapi?