Recent content by Yo sella

  1. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

    mbona hata ile vitz yang haikimbii labda hao crown
  2. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Akikosekana atakayevaa viatu vya Rais Samia 2030, ni vyema tubadilishe tubadili Katiba ili aendelee

    unamaanisha kuwa wanapewa Pocket money au😁
  3. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    👀watu gani hao unawaongelea kwan kiongozi
  4. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    tatizo teknolojia watu wanafanya kazi kwa mazoea tu🥲
  5. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    most horrifying keywords kuwahi kutokea na kuonekana kawaida😁
  6. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

    iyo keko maeneo ya veta kuna kiwanda cha mabegi kinaitwa matrix pale asingekosa hela ya kuendeleza ubishoo wake wa kjijini na pisi angepata pia ila uyo alifikia mbande huko mbele mbele😁😁😁
  7. Yo sella

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    hao kwanza wamekuwa maservice man kwa siku mbili unakuta wanarud makwao kuwaelezea wazazi wao kwann walifeli form six kiasi cha kushindwa kwenda chuo ayo mengne yanisha wakishuka kwenye lile basi la mkoa 😁
  8. Yo sella

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    wanajifnya hawajawakuta maservice man kama wao waliohitimu kitambo na bdo wapo wanalima mashamba tu na kufuga mifugo ya jeshi
  9. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    nunua Noah tu hela ikibaki utuletee chenji wana JF
  10. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

    Msimamo katika maisha yako binasi sio kiburi ni imani
  11. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela. Watu wa hivi hawaamini katika Mali bali katika kile wanachokipigania

    We jamaa unazingua kiporo cha wali na maharageni kitu cha kukushangaza juu ya harakt au sio chakula cha kuliwa na LISSU yan point ni nn mpka kiporo cha wali na maharage kimekukwaza
  12. Yo sella

    JamiiForums Tanzania As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    aaaah watamfanyia kama Sadam Hussein sio ujanja
  13. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

    Kama ni ngumu kuamini fuatilia kipindi hiki wanawake wengi wanatumia ayo madawa mpaka yanapelekea wao kupata makebo makubwa
  14. Yo sella

    JamiiForums Tanzania Kama hili ndo daraja limejengwa jijini sipati picha huko Kijijini ndani ndani

    anapita kama anabusha bana yote anaogopa kuanguka 😂😂
Back
Top Bottom