Hii ni tabia ya watoto wa kike wa kisasa, wanapomaliza form 4, kitu kinachowajia kichwani ni kuwa na uhuru. Sasa na story za mitaani kwamba ukienda chuo unakuwa huru ila ukienda Advance unabanwa. Hili ndio swala linalowasumbua. Hapo wameshawaza kuvaa vitopu, skin jeans, kuweka nywele bleach na...
Kwanza jiulize wewe una kipaji kipi kati hivyo, yaani hobby yako ni ipi. Kwasababu kama utasomea kozi isiyo ya hobby yako utateseka sana kutoboa na hautaweza kuwa Nondo.
Kumbuka ukisomea kitu unapaswa kuwa mtekelezaji wa kazi zake kwa vitendo, kwa hiyo kama ulisomea kwa kulazimisha basi maisha...
Unatumia nguvu nyingi sana kuProve nothing, au uongo.
Hakuna kitu rahisi duniani kama kuGoogle chochote, hiki ndicho kilichokufunga kengele.
Hebu Google hapo Bei ya Betri ya iPhone 13 halafu nenda Dukani ukaangalie bei.
Chukulia mama wa kitanzania amevunja kioo chake cha simu halafu...
Si kweli kwamba A series nyingi zina Amoled, ni IPS na pls kwa wingi, hiyo ni IPS iliyochangamka.
Pili. Kuona kioo online ni tofauti na kupata kioo na kukiweka. Angalia hizo bei ni vile vioo unavyoambiwa na fundi hivi ni vile vyenye changamoto. Display ya simu ya Samsung iliyouzwa elfu 45 ...
Sasa wewe ndio muongo. Hapa naongelea experience wewe unaongelea zaidi bei za Alibaba na aliexpress. Hakuna siku kioo cha samsung kimewahi kuwa hiyo. Elfu 27 ni bei za kina camon 11, 12 kina pouvour.
Sasa kama wewe una uwezo wa kuuza hicho kioo cha samsung cha elfu 27 ngoja aje mtu hapa...
Hata usiongelee mambo ya Amoled . Simu za samsung nyingi za A series ni IPS na resolution hazifiki hata full HD . Ulizia bei za vioo vyake vinazidi laki au kifupi vinazidi nusu ya bei ya simu, wakati kwa specs hizo hizo kwa tecno/infinix bei ziko chini ya 60k.
Umeongea kweli kabisa.
Hebu angalia kioo cha samsung A10S simu ya kawaida kabisa tena copy paste ya tecno, lakini bei ni mziki. Wakati simu kama hiyo hiyo ya tecno unakuta kioo ni elfu 30 au 40.
Kusifia brand ni ujinga, wewe mteja unalizwa huku muuzaji anatengeneza pesa.
Hizo K ni color temperature sio pesa. Taa inavyozidi kuwa na K kubwa basi inazidi kuwa nyeupe, na ikizidi inakuwa blue.
Taa yoyote yenye chini ya 4300K basi ina mwanga wa njano, ikiwa 5000K hadi 6000K hivi , hiyo ni nyeupe, ikiwa kuanzia 8000K hadi 12000K hiyo ni Blue.
Kwa mantiki hiyo basi...
Kuna kitu kinaitwa 2-way switch , ni switch kama ya kuwasha taa za nyumbani inayoweza kuwa 1-gang au 2- gang, ni switch ambayo ina output 2 na input moja. Yaani inaweza kufanya kazi ya kuwasha taa mbili kwa kupokezana, ukiwa umebonyeza kuelekea chini itawasha taa ya kwanza, na ukizima taa ya...
Vipi kuhusu usalama?. Unapanda gari la mtu humjui, halafu yeye ndio dereva na hujui amebeba nini wala anawaza nini...... Hata akifuta dashboard huwezi kumwambia chochote
Kagua vifaa vyote vyenye plug ya pin 3 , hivi ndio zaidi vinaweza kusababisha tripping endapo kuna muingiliano kati ya Live na Earth au Neutral na earth.
Pili kama mdau alivyosema inawezekana ni overload kwakuwa hiyo mida ndio watu wanapika, wanaangalia TV , redio zimewashwa kwasababu muda huo...
KWA KUONGEZEA
Computer zipo za aina nyingi,
Super computers hizi sio pc
Mainframe computers hizi sio pc
Special purpose computers inaweza kuwa pc
PDA s (Kama vile kindle, smart glasses etc)
Personal Computers hizi ndio multipurpose/off shelf computers ambazo pia zinabebeka (PC) kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.