Recent content by Yieen

  1. Yieen

    Natafuta Air compressor ya kununua

    Salaam, Natafuta Air compressor kuanzia lita 100, kama unayo nichek Pm tufanye biashara chap!!
  2. Yieen

    Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Namba 18-27 hii ni chassis No🤣
  3. Yieen

    Msaada wa kupata kazi ya ufundi wa simu

    Nichek inbox....tufanye kazi ila ni mkoani.
  4. Yieen

    Nataka mbwa

    Kwa aliye na mbwa aina ya German Shepherd na anauza naomba anicheki PM. Ila na-prefer wawe wadogo at east miezi 2 au 3. Bei iwe nzuri, ninahitaji wawili.
  5. Yieen

    Natafuta mwanadada kwa mahusiano ya ndoa

    Karibu... mke mwema ni namna anavyo tafsiri maisha... shio shape ya yake.
  6. Yieen

    Natafuta mwanadada kwa mahusiano ya ndoa

    Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano; Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu" Nina miaka 31 na sasa ivi ninaishi dsm kikazi i kwa aliye tiar tu naomba tuwasiliane. "Pleaae awe humble and...
  7. Yieen

    SHOW YA NYAVU

    Natafuta shoo ya Mbele ya Gar IST ya (nyavu..)kama unayo nicheki tufanye biashara ...ASAP Na body kit kama unayo njoo tufanye biashara
  8. Yieen

    Inn House pink party with strangers:

    Drinks and snacks...either uje nazo au utajinunulia But..ku socialize ita depend kama mki click.. IMNTNT: all ends indoors.
  9. Yieen

    Inn House pink party with strangers:

    Mkuu unaonekana kushangaa ...ww mgen kwenye haya mambo
  10. Yieen

    Inn House pink party with strangers:

    Kwa wale wapenzi wa inn doors party tu na wazoefu wa mambo hayo. Ili kuhakikisha hii sikukuu inaenda vizur..na kuzingatia hatuja sociolize siku nyingi..nawakaribisha yyte ambae yupo tiar na anataman kujumuika na sisi akaribie.. Nb: idadi ya watu haitazid 34..kwa maelezo na coordinate...njoo pm
  11. Yieen

    Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

    Hi Send me a PM message so we can make a move frm there
  12. Yieen

    Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

    Mm ni mtu smart Na nipo na position yangu ya kuheshimikana kujiheshimu pia
  13. Yieen

    Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

    Sipendi na udhalilishaji usio maana Tusichafuane pasipo sababu za msingi Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu
Back
Top Bottom