Very soon, na inategemea kila school kwa Academicians na kwa administrators pia inategemea kitengo, ila nikuhakikishie kwamba mambo ya ku-shortlist yameisha, so anytime likiisha zoezi la kupokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaendelea, mambo yatakuwa sawa, kama ulikuwa na vigezo, kaa mkao...