updates za UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

updates za UDOM

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAUBIG, Oct 18, 2012.

 1. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu kama sita hivi. nchi hii ishauzwa ndugu zangu tusio na wa kutushika mkono tuanze kufanya mipango ya kujiajiri. TAKUKURU PLEASE FANYENI KAZI YENU


  Naomba kuwasilisha wadau
   
 2. x

  xiande Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah hivi hapa kuna ukweli wowote ndugu zanguni???kama upo basi ngoja nitangulie kijijin kilimo kwanza mna huu mji ushanisha mie nilikuwa nategemea hako kaa post hapo lakini kwa hili ......
   
 3. amu

  amu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Mbona bei ndogo hizo?huyo kweli kilaza njaa tu inamsumbua
  anyway mungu yupo pamoja na wote
   
 4. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inatia aibu kama ni kweli
   
 5. l

  luhombi Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hivi mpaka leo wanasubiri kitu gani kuita watu kwenye usaili? bora waweke wazi watakaofanya usaili ili watu tuwe huru kuliko kukaa na mzigo wa matumaini ya kitu kisichokuwepo
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  karibu jamvini mkuu
   
 7. M

  MR.LEO Senior Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hicho ulichoambiwa ni sahihi maana hauna uwezo wa kuthibitisha hilo jambo.
  Acheni kuwakatisha watu tamaa!
   
 8. Y

  YGmdogo Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAFADHALI SANA NAOMBA MNAPO TOA TAARIFA HUMU NDANI ZIWE NI ZA UHAKIKA NA KAMA KUNA UWEZEKANO TOA CHANZO. MIMI NIPO UDOM, UTAWALA, MCHAKATO WA KUAJIRI UNANDELEA KAMA KAWAIDA, NA KILA IDARA IKO NA WATU WAKE, NA ZAIDI YA HAPO MAJINA YANAPITISHWA KWA WATU WA UTUMISHI, SASA KAMA WEWE UMEAMBIWA UTOE 500000 TSH, UNADANGANYWA, MAANA HII KAZI HAIFANYWI NA MTU MMOJA.

  UKWELI NI KWAMBA APPLICANTS NI WENGI NA WENGI HAWANA VIGEZO, NI PAMOJA NA KUWA NA VYETI BATILI.
  ANDIKENI UKWELI.:shock:
   
 9. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya UDOM yanafanana na CCM
   
 10. Marga

  Marga Senior Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kukanusha uzushi uliotolewa
  kwa msaada tuu twaomba utuambie majina kwa ajili ya interview yatatoka lini.
   
 11. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Weka mtego na takukuru tumitie adabu huyu pimbi otherwise tutakuona muongo na mnafiki
   
 12. Y

  YGmdogo Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very soon, na inategemea kila school kwa Academicians na kwa administrators pia inategemea kitengo, ila nikuhakikishie kwamba mambo ya ku-shortlist yameisha, so anytime likiisha zoezi la kupokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaendelea, mambo yatakuwa sawa, kama ulikuwa na vigezo, kaa mkao wa kula.
   
 13. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180

  Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya Firauni, yawezekana wewe ni junior staff wa UDOM na bado hujui system ilivyo, taarifa niliyoitoa ni sahihi kwa asilimia 100, mwaka jana hadi watu wa idara ya fedha walikuwa wanaomba rushwa ili na kwa majina nawafahamu, mie sio mgeni ya UDOM HUYU ALIYEOMBWA LAKI TANO NIMEMALIZA NAYE CHUO PALE PALE UDOM.
   
 14. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  ndo shida ya watu wa jukwaa hili kila watakaloambiwa wanafikiria ni uzushi,
   
 15. n

  nash koba Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  panga, kisu na wembe vinagombea makali, mmmh
   
 16. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo bila mshiko hakuna kazi
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  rushwa kwenye ajira imeshanza kuota mizizi, yote haya ni sababu kubwa la tatizo la ajira na njaa kali za wafanyakazi.
   
 18. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,272
  Likes Received: 2,053
  Trophy Points: 280
  wewe inaonyesha unahongeka!..
   
 19. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,272
  Likes Received: 2,053
  Trophy Points: 280
  wewe kwa hofu uliyonayo hata ukiitwa kwenye usaili uta panick na utafeli vibaya! ...jiamini umekaa kilawamalawama kama mtoto wa k.ke!
   
 20. Marga

  Marga Senior Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtu ana haki na uhuru wa kuamini kivyake sioni shida kuamini kama uliotoa ni uzushi ilkhali haujathibitisha taarifa yako.
   
Loading...