Recent content by Yeyote Yoyote

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wakuu napita hapa nje ya lodge moja hivi, kuna sauti naisikia

    Itakuwa wanaandaa mishkaki😁😁😁
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kuchangia CCM, Yanga wameyatinyanga haswa!

    Nimeanza kuishabikia yanga mwaka 1994, Hadi Leo Nina miaka zaidi ya 30 Kama mshabiki. Ila kwa Hili viongozi wangu mmechemka. Mimi sio mwana ccm Ila Ni mwana yanga. Imenikera sana😣😣😣
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Da Dah....,😂😂😂😂😂 Wapi dada neema we! 🤣🤣🤣🤣🤣
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea misri, Simba tuanze kumlaumu GSM?

    Kwa hiyo ndo ampumulie mwenzie kisogoni....? Tena kwenye maji? 😭😭😭😭
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kabisa Tunauch!guzi...!

    Ila Tanzania! Kwa hiyo tutaenda Oktoba na wagombea hawa?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Ni Muda wa kutubu sasa... Tutayasikia mengi
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Jibu Ni rahisi Sana. Ni ishara ya uadui wa wazi na utengano uliopo Kati ya viongozi wa serikali na wananchi. Tumezoea kushuhudia haya kwa Siri Sana kwa watu labda wachawi, majambazi nk. Inapofikia kwa kiongozi mkubwa wa Kariba yake Ni ishara mbaya Sana kwa mustakabali wa taifa.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa kawaida kushangilia kifo cha Job Ndugai: Umoja wa kitaifa unazidi kuporimoka

    Alikubaliana na jiwe kuwashughulikia wapinzani!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Wakali wa hesabu karibuni hapa Solve X

    Tusiumizane vichwa
  10. Y

    JamiiForums Tanzania DRC: Kanisa katoliki lapinga waliopata ujauzito kurudi shule

    Kama huko shule wanafuata mimba waachwe wabebe hata tatutatu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama hii hata kama wanakula kioyozi ila wanateseka sana tuwaombee, wanae mwinda analindwa na mabosi zao je watatoboa?

    Wazee wa sobibo na muongozo tuvae miwani ya mbao🙆🙆🙆
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

    Naona wanalazimisha Jambo na dereva wao kipofu.... Ni suala la Muda tu...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Naiona aibu nyingine mbaya kabisa kwa serikali ktk kesi hii baada Ile ya Mbowe🤔
Back
Top Bottom