Turudi nyuma mwandishi anasema Madagascar ni waislam ila siyo ki vileeee,
Hapa inaonesha m-Madagascar ni mwislam na muuza duka alimpiga mwislam mwenzie.na HUENDA baada ya kuchunguza kwa kina.however poleni.
Roho ni Roho tu.si lazima iwe ya marehemu.kwanini haujanyoosha maelezo KUSEMA ni mtu mwenye Roho ya maarifa zaidi??
Kutoka 31:2-5
[2]
Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda;
[3]
nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi...
Nakuombea upate tatizo litakalokufinya Hadi ujue MUNGU yupo.pili kati ya wewe na president Ruto. WA Kenya nani anauwezo kuhoji unavyojifikiri wewe.
WAKATI MWINGINE ukiona jambo ni gumu kuelewa ,tazama wanaokuzidi na wamefanya lile unalolipinga.
Ni kweli Kuna uhusiano mkubwa kati ya HALI YA KUMCHA MUNGU NA KAULI YA MKUU WA NCHI.MUNGU YUKO TAYARI KUISAIDIA NCHI ILA ANASUBIRI KAULI YA ANAYEKALIA KITI CHA UFALME.
Salaam ndugu wakuu.
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.
Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo...
I'm writing this to warn those of us who have decided to specialize in spiritual affairs under the umbrella of prophecy.
I know a certain family is broken down because of poorly or wrong management of the prophecy.
A man called john shifted from Kigoma to Dodoma and when he reached there, his...
Hamjaelewa,hii kauli ya RPC ni matokeo ya liberalization ya madam president kuwataka watende haki.kamanda ni msomi mkubwa anaongea philosophically.anaiita jamii iwe karibu na Police maana Tanzania ya Sasa siyo ya mwaka ule.
Ki MSINGI mama anaitafuta haki,maana haki huinua taifa.na watendaji wake...
Naipenda mwanza kwa ustaarabu WA ma dreva wake.yaani wakiona pembeni Kuna kundi la watu wanashida ya kuvuka ,dreva WA mbele anasima.....WOTE wanasimama na wavuka kwa miguu wanapita,hata kama hakuna zebra.
Ni nidhamu ya Hali ya juu sana.
HONGERA MADREVA WA MWANZA.MUNGU AKUBARIKINI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.