Recent content by Yesu anaokoa

  1. Y

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Kumbe ni Kweli Kuwa Hampo kwa Maslahi ya Waislamu?

    Hilo gazeti naona ni la mlengo mmoja tu. Haliwezi kubalance habari. Maaskofu 2000????.wa wapi?hata WW hukujiuliza? Mambo haya ndo yanaleta uchochezi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Tanzania ivunjeni TUCTA!!

    Yalikuwa ni makosa makubwa sana kumpa uenyekiti wa TUCTA NDGU GRATION MKOBA,ambaye ameshindwa miaka mingi kuwatetea walimu.Yupo tu kula hela za michango ya wafanyakazi ya kila mwezi, huku hafanyi chochote.Sijui ni Mhaya wa wapi! HANA UBUNIFU WOWOTE WA KUWATETEA WAFANYAKAZI. Yeye na Kamati yake...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la aibu kwa mkuu wa watunga sheria (spika) kuagiza mwanamke afungwe pingu

    Ila ungetukanwa wewe ungenyamaza?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la aibu kwa mkuu wa watunga sheria (spika) kuagiza mwanamke afungwe pingu

    Halima Mdee ajifunze namna ya kufikisha ujumbe, sio lazima atoe matusi kama njia ya kufikisha ujumbe wake. Maneno ''fala, na mpumbavu''Yameonesha hana maadili mazuri wala hekima,ana panic tu na hasira nyingi.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Music makes us feel good

    Ni mapepo tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Jamani tutashangaa kama waliotimuliwa ccm watakimbilia chadema na kupokelewa. Hapo tutaendlea kutambua kuwa chadema ni Chama cha kupokea mabaki.
Back
Top Bottom