Recent content by YESSSS

  1. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kumpa ukuu wa Wilaya Kinondoni ilikuwa ni kumuonea tu! Kiatu kinapwaya

    Du makonda bwana hata bora aache kiherehere
  2. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Ukiacha Dar, Kwa Tanzania Ni Mwanza Pekee Ndio Inayofuatia Kwa Uzuri na Ubora Wa Maisha

    Huyo anaweza maisha ya buku yaliyopo mwnz ndiyo maana anasifiya arusha wanaishi wenye hela siyo kiazi kama ww
  3. YESSSS

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamvaa Rais Magufuli na Waziri Mkuu, ni kuhusu Umeya na Demokrasia Nchini

    Ccm wajitafakari. Huu muda hakuna mjinga wajinga ni wale wanaofikiri kwa kutimia udhanifu. It is the time for practice not words. Ukawa ifikie mahali tufanye mambo kwa vitendo mahali ambapo pamaonesha chama fulani kuongoza kichukue hakuna namna nyingine
  4. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Newala chini ya UKAWA

    Tunduma, arumeru mashariki na magharibi na babati mjini ni ukawa
  5. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Nauza Printer

    sema bei na upo wapi fastafasta
  6. YESSSS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu kwa wale ambao hamjaolewa wala kuoa

    Ww ndiyo unaetamani maana hukujipanga kwa ndoa ulijipanga kwa harusi. Hiyo ndiyo shida inayokuseta. Mimi hata wazo la kutoka sina usidanganye wenzako,wewe ndiyo hukujipanga ndiyo maana unahangaika.
  7. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Mch Gwajima atoa "comments" zake juu ya Baraza la Mawaziri

    Gwajima jembe ww usiyejua umuhimu wake kalale
  8. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Pamoja lema pamoja sana chadema pamoja sana ukawa hayo ndiyo mapinduzi huru ya watanzania. Katuwakilishe walikupiga vijembe sasa wamekaa chini hawana jipya
  9. YESSSS

    JamiiForums Tanzania VPL: Azam FC Vs Simba SC Disemba 12, 2015

    Azam piga simba goli mbili warudi kunywa kahawa
  10. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Neema ya CHADEMA yaingia Tunduma

    Punguani wengine bwana
  11. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Kinana aingilia kati uchaguzi wa m/kiti wa halmashauri Kwimba

    Uchapa kazi siyo uchama waliona Hugo mmoja tu WA CHADEMA no saws na madiwani mia waccm
  12. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Lowasa mtaishia kumsema tu nani jasiri wakumsumbua. Kuna namba huwezi kuigusa maana ukigusa unagusu aliyekuwa bosi
  13. YESSSS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Ni mawazo chakavu hayo. Mwache ipo siku atakukumbuka. Kwani itakuumiza nini ukimwacha akaja kupata tatizo mwenyw.mungu analipa hapa duniani
  14. YESSSS

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Araaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa giiiiiiiiioiooiiiiiiiiiiiurd goooooaaaaaaaaaal it is hat trick to the gunners
Back
Top Bottom