Yes Pasco,
Umepewa mfano: mkojo ni najisi lakin nguo yenye mkojo sio najis, mvaaji sio najis.
Sasa rudi kwenye serikali mbili........Muungano............na viongozi wa serikali.
Soma kwa utulivu maandishi utaiona tofauti.
Ni Majina gani TEC waliwasilisha kwa ajili ya Uteuzi kwenye Tume?
Ni Majina gani CCT waliwasilisha kwa ajili ya uteuzi kwenye Tume?
Yes.....kama hayo yaliyonukuliwa hapo juu yamesemwa na Lisu basi atakuwa mjinga wa kupitiliza. Kamati inaambiwa, bila kuhoji vizuri unakwenda kulalamika tu kama...
Pamoja na heshima kwako Dr Kitila sio fair kupeleka siasa za kampeni kwa watoto wa shule. Badala ya kuwa-inspire wasome kwa juhudi, kuwahimiza walimu kuchapa kazi, mnapeleka siasa! No Thanks bro. Vyuoni no problem, sio kwa watoto wadogo.
Serikali imeingia MoU na TEC (wakatoliki) & CCT (Madhehebu mengine).......waliounda CSSC....soma muundo wa Usimamizi wa CSSC....kuna wajumbe toka pande hizo mbili plus Taasisi za nje (muangalizi) na mjumbe wa serikali .(mshauri).
TEC is like Bakwata kwa hapa TZ. Wote mnajua Bakwata haiwezi...
FY aka FD,
Kwa tunaokujua, huwa unaeleza fikra zako waziwazi.
1. MoU ikivunjwa, waislam binafsi hakuna watakachofaidika, kubwa kutakuwa na uwanja huru wa kitendaji; Taasisi za Dini zitumie rasilimali zake kujiendesha.
2. Hawatumii Taasisi ya sheikh Ponda kwasababu kiserikali Taasisi...
Wanaozijua siasa za Kigoma wanajua jimbo la Kusini litakwenda wapi. Kigoma mjini Chadema ina nguvu. Kaskazini ukimuondoa Zitto jimbo linakwenda CCM. Kusini Zitto alimjenga sana Kafulila. Kwa sehemu kubwa Kafulila alichaguliwa kwasababu mbili.......Umaarufu wake na historia ya NCCR kuwa na nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.