Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Pamoja na heshima kwako Dr Kitila sio fair kupeleka siasa za kampeni kwa watoto wa shule. Badala ya kuwa-inspire wasome kwa juhudi, kuwahimiza walimu kuchapa kazi, mnapeleka siasa! No Thanks bro. Vyuoni no problem, sio kwa watoto wadogo.
 
Ahsante mkuu... hiyo ya (V) hapo juu nimeipenda sana..nadhani ndiyo sababu kuu ya watoto wetu wengi kumaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika...
Halafu ningeshauri kabla ya wanasiasa kuahidi mambo yanayohusu mifumo mbalimbali iliyopo ni vema wakawahusisha wataalam kwenye nyanja husika...ili kupata taarifa sahihi...inaendeshwa vipi? kwanini ilibadilishwa? nini mawazo yao ili kuboresha mifumo hiyo.. nk ...ili waje na suluhisho zilizo sahihi....cha mwisho sisi tunaendelea kuhesabu pamoja na kuweka kumbukumbu ya hizi ahadi ......
Afadhali umesema wewe mkuu, pengine watakusikiliza!
Mimi bado naiota ile ahadi ya mfuko mmoja wa sementi kwa shs 5,000/-
 
Pamoja na heshima kwako Dr Kitila sio fair kupeleka siasa za kampeni kwa watoto wa shule. Badala ya kuwa-inspire wasome kwa juhudi, kuwahimiza walimu kuchapa kazi, mnapeleka siasa! No Thanks bro. Vyuoni no problem, sio kwa watoto wadogo.
tatizo inaonekana hata maana ya siasa hujui
 
jk ndio anawafundisha mpigane kisa ubwabwa, kofia na kanga?? Poleni miaka 51 ya uhuru bado mnagombania kofia??

Ritz hebu tiririka hapa kulikoni haswa hawa Magamba wavunjane?Tiririka mkuu acha mambo ya ajabu ajabu kuulizia ati Elimu bure ilienda wapi,hivi wewe na ndugu zako wote hata wa kule kwenu kijijini mna uwezo wakusomesha watoto kwa shule kama hii ambayo Mh Dr(PhD)iliielezea au ndio unatoa mapovu tu,Kuna jamaa mmoja ambaye ni thinkers alikuambia tuungane pamoja kwani hii issue siyo ya Chadema pekee pia soma vizuri ni kwamba ni mpango mzima wa Taifa letu agghhhh yaani watu kama Ritz ndio wanasababisha hata rushwa inapanda chati siku hadi siku kwa kutotaka kuelewa au niseme kuzungusha mambo ili hali anaelewa whats goin on.
Wabongo wengi wana kasumba ya kutaka wanafahamu kila kitu yaani hawataki kuambiwa ndio maana mwisho wa siku utasikia OOh Tanzania ilipata uhuru mwaka 11964 na imeunganika na visiwa vya Zimbabwe na Pemba haya yote ni kule kujifanya wanafahamu kila kitu acheni uswahili tujenge nchi sio kwa faida yetu ni kwa ajili ya watoto zetu na hata wajukuu zetu.We have to change siko kila kitu tujifanye much know.
 
Afadhali umesema wewe mkuu, pengine watakusikiliza!
Mimi bado naiota ile ahadi ya mfuko mmoja wa sementi kwa shs 5,000/-

Wewe waota Mifuko ya saruji kwa 5000tsh?Mie naota zile ahadi za kilaza Kikwete alizoahidi hadi kununua meli kubwa kuliko ile iliyozama kule Victoria naota zile ahadi 500 na mpaka leo ni changa la macho hakuna hata moja tulioiona na huyo ndio mlimchagua kuwa rais na bado yumo humo kama Rais,mie kuhusu mfuko wa saruji hainipi shida kwani kama Dr Slaaa asingechakachuliwa kura zake tungekuwa sasa ni mdundo tu mfuko 5000tsh.
 
Kwa hiyo ahadi hewa za chama chako we washiba tu!
 
[h=2]HILI BASI LA CHADEMA KWELI LITAVUKA HLO DARAJA LA MWAKA 2015?[/h]
1475876_450281575078562_1279034616_n.jpg
 
Hivi Dr Slaa bado anawaza kweli kuwa rais wa Tanzania tufike wakati tuwe wakweli Dr Slaa, ataendelea kuwa rais kivuli wa Tanzania miaka yote.

Mkuu Ritz
Anataka uraisi upi wakati yeye tayari ni raisi wa wazinifu huu wa JMT atausikilizia mapajani akifanya zinaa zake!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Dr Slaa bado anawaza kweli kuwa rais wa Tanzania tufike wakati tuwe wakweli Dr Slaa, ataendelea kuwa rais kivuli wa Tanzania miaka yote.
Kwa vile utendaji wa CCM umekuwa mbovu, inawezekana kabisa CDM wakakamata nchi hii kwa ridhaa ya wananchi, usipinge!
 
Mwenye jipya ni....?

Ni Kitila Mkumbo!!! kamanda sasa umejua ukweli wa siasa za Chadema; kila siku tulikuambia hicho sio chama; kijana wako wa nyumbani Tundu Lissu amekugeuka anamtumikia master aliyemleta Chadema na biashara ya kuuza solar panel amepewa siku hizi haoni tabu kupindisha ukweli kushibisha tumbo lake unakumbuka Lissu alivyokuwa? Msigwa alikuwa ni mnene sana kwa Lissu siku hizi Lissu anashindana na kina John Komba; umejikita katikati ya kundi ya mafisi ulihadaika na vyeo uchungaji walivyojipa; huko wamejaa wanafiki na waongo walikutumia kwa elimu yako hii elimu ya demokrasia unayotoa hawaitaki rudi kwenye demokrasia ya kweli!!
cc Ritz; zomba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom