Recent content by Yes me

  1. Y

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tufundisheni muhimu za likes kwa sisi wageni... Maana naona Mara tunapeana Kama makinikia Mara watu wanafurahiii... Alafu wakati ukikoment usisahau kubonyeza kitufe Cha like... Ahahaa
  2. Y

    Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)

    Naomba namba mkuu nahitaji unielekeze maana mie ndo nataka kuaanza
  3. Y

    Naomba ushuri nifanye nini kusoma Ualimu na masomo gani kwa sasa yanauhitaji?

    Wadau naomba ushauri hapa. Mimi nilisoma na kufanikiwa kumaliza BCOM. Nimemaliza na degree ya India lakini Cha kudhangaza kazi sipati, na nikionganishwa naishia kupata vibarua tu Ila siajiliwi. Huu mwaka wa saba. Nimekaa hapa nikaona Bora nikasomee ualimu. Je, nikitaka kusoma ualimu ni somo...
  4. Y

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Ninauhitaji Sana na hili nimelipenda wazo lako. Naomba namba yako please
  5. Y

    Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Kuna dhambi zako na dhambi za ukoo. Haijawahi kuona familia zinapitia matukio ya kufanana? Labda kila ikifika umri flani watu wanaumwa magonjwa makubwa kidunia tunaita magonjwa ya kuridhi kiroho no adhabu za kuridhi. Pia na vitu wakadhaa wakadhaa... Fuatilia Hilo utaligundua Kama sio kwako kwa...
  6. Y

    Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Unaona sifa mwenyewe. Omba yasikukute.
Back
Top Bottom