love peace: usikate tamaa. Wengine tushatuma zaidi ya email zaidi ya 2000 na barua za posta nyingi tu : na bado hatujafanyikiwa kupata dream job.
#HaveFaithIn God
#OnedayYes !
Wadau, nataka nifungue account mpya kwa ajili ya biashara na pia kupitishia pesa za mshahara wangu.
Nishaurini bank nzuri. Ambayo hata nikiwa nje ya nchi naweza kuingizia pesa.
Mfano: nipo USA na naweza kuingiza pesa kwenye account yangu.
#MuhimuTafadhali .
Atapata kazi kabla mwaka huu 2014 haujaisha. Bonge la kazi....wala hutaamini.
Mtakua na mahela sana....mtajenga nyumba nne na magari ya kifahari mawili mazuri sana. Mtapata mtoto wa kiume. Na mtamwita Yeremia.
Trust me!!!
Itakua ngumu kuzomea kaka. Ulinzi ni mkali sana. Kuna vijana wamechomekwa ndani utadhani na wao ni wajumbe wa bunge la katiba. Nadhani wapo kwa ajili ya wale watakao zomea...
Viongozi wanazidi kuingia......january makamba ndani ya nyumba.
#zito na wengine.
#wabongo kwa ulinzi tuko juu sana. Yani hapa jamaa wako makini sana mpaka toilet
Wabunge ndio wanazidi kuingia mjengoni......hapa mahali ni shwari kabisa. Ulinzi mkali sana.
Watanzania wengi wanasubiri Hotuba ya Raisi.
#Ni kama final game ya ARSENAL NA MANCHESTER mtaani.
#KatibaMpya
Yani mtu anakuamsha saa 10 au saa 11 alfajiri anataka...mdudu huo.....daah
Mi hapo ndo usingizi umekolea.
Mi kwakweli nimeshindwa hii kitu. Kama ni talaka niko tayari.
Mi napenda kabla ya kulala saa tatu saa nne usiku au saa tatu hadi saa tano asubuhi.
#Finito !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.