Recent content by Yego Jnr

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Uvimbe usiokuwa na maumivu katika paji la uso

    Na mm nina tatizo kama hilo je na mm unaweza kunielekeza
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi virus wanavyoingia kiurahisi kwenye simu za android

    Msaada Tafadhali ili na mm niweze kupata huduma
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi virus wanavyoingia kiurahisi kwenye simu za android

    Wakubwa Mimi nina sumsang s3 inasumbua mwenye kudownload files
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake asilimia kubwa huwa hawanuki midomo?

    Mmmhhhh dah jibu gumu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna application ya kuroot simu kweye playstore?

    Jaman mm android yangu ni aina ya Vodafone 785,iko full internal memory,kila nikidownload apps zinakwenda kwenye cm,naombeni njia rahisi ya kuwa na space,au kustore apps kwenye SD card
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa, HP Elite-book

    Dah poa mkuu,lkn kama naweza pata nyingine unaweza nisaidia
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa, HP Elite-book

    Mimi ninashida nayo lkn nina laki tatu,ila mpaka end of this month,kama itakuwa bado ipo utanijulisha namba ni 0763919424, niko Masasi Mtwara
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

    Tafadhali naomba unielekeze jinsi ya kufuta vitu,app zilizoko kwenye internal memory ili nipate space,cm inakuwa haina nguvu kabisa mkuu,samahan kwa usumbufu wowote
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

    Ni kweli internal memory imebaki 200 na kitu mb,so nifanyeje Mr Captein,msaada please
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

    Captaen cm yangu ni Vodafone 785 android,ina memory card ya 8gb,ila kwasasa ina space ya 3gb,cha ajabu nilitaka kudownload app moja ya Leo privacy lock kwaajili ya usalama wa cm yangu,lkn inaniambia insuffienc space,tatzo ni nini mkuu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Faida za Windows phones

    Mm nina cm ya android Vodafone 785,naomba kujuzwa maana na kazi ya neno root(kuroot)
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Vodafone 785 haifai mkuu
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ya house girl mpya

    Hahahahaaaa tehehteheeh Mr mshana Jr unanivunja mbavu aisee
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ya house girl mpya

    HahahahahaaAA kuna haja ya kuchagua angalau aliyosoma hadi drs la 7 maana ni aibu
Back
Top Bottom