smartfon za wadada wengi huwa ndo zinakua kwenye risk maana hawana hata muda na mambo hayo ,wao ni watsaap tu ,kuna cm ya mdada mmoja jana nilikua naitumia inaji restart mara kwa mara ,ina apps ambazo hata yeye amekiri hajawah kudownload yan usumbufu juu ya usumbufu ,tofauti ukishka cm ya mwanaume cjui ni kwann.
usiongee sana tuweke dau mzee na ata uje mtandao gan 4G yake ntaikamata tu
Don't waste your money. If your device is 4G incapable software is useless. It's like saying you made a 1000rpm engine to run like airbus by changing fuel to that of aeroplanemkuu tuweke dau sh ngap ngap af tumtumie Invisible ili nivalidate nilichosema af mwsho mshndi apewe chake
Umeongea ukweli mkuu,mimi nina s3 ilichonifanyia hadi leo iko kabatini tu.
Ilikuwa inajiwasha data yenyewe,inaji restart yenyewe yaani shida tupu.
Nikipata simu nyingine itabidi na mimi nijifunze maujanja sasa.
acha kabisa mkuu mimi nimemodify kernel cm yang inapandisha 4G sa hv ,nimebadili font, nimeongeza themes nyingne ,nimeongeza ringtones nyingne ,nimeedit build prop ,nimebadilisha shut and power on animation, nime ongeza network tweaks kweny etc ,nimeunistall pre installed aps kuna apps ambazo ninazipenda kwa hyo nmezfanya system apps nnaweza kupatch apps to apps with no adds kwa hyo mkuu atulingani
warning uwe umebackup stock rom na pia uweze kuflash in case umebrick device yako
Umeongea ukweli mkuu,mimi nina s3 ilichonifanyia hadi leo iko kabatini tu.
Ilikuwa inajiwasha data yenyewe,inaji restart yenyewe yaani shida tupu.
Nikipata simu nyingine itabidi na mimi nijifunze maujanja sasa.
Wakubwa Mimi nina sumsang s3 inasumbua mwenye kudownload files