Recent content by yegella

  1. yegella

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Siasa Ingekuwa Huru, Rais Magufuli Angekuwa Hoi Kisiasa

    Yaani kusingekuwa na zile sheria sijui za mitandao, za vyombo vya habari halafu aruhusu siasa za majukwaani kama katiba inavyo ruhusu yaani aache udikteta haki sipati picha...
  2. yegella

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kuingia na watoto uwanjani?

    uko sahihi, huwa wanalipia hata mwaka mmoja kabla....
  3. yegella

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    Moderator, Mod 5, Mod 4, Mod 1, Mhariri huyu siyo mwezetu naomba atendewe haki yake
  4. yegella

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya mchezaji Langa Lesse Bercy wa Congo Brazzaville

    Hii ni ishara njema kwa Watanzania
  5. yegella

    JamiiForums Tanzania Meya Bora kupokewa leo Mchana akitokea Musoma

    Leo saa 9:00 mchana wakazi wa jiji la Arusha Mjini watampokea Mhe. Kalist Lazaro akitokea Musoma alikotunukiwa tuzo ya meya Bora kutoka jiji la Arusha Mjini, Mapokezi yatafanyika karibu na ofisi ya Tanapa makao makuu wananchi mnakaribishwa ..Hongera jiji la Arusha, Hongera Chadema, hongera...
  6. yegella

    JamiiForums Tanzania Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

    Kama ulivyoshauriwa hapo juu usafiri wa uhakika Arusha - Mbeya ni Hood
  7. yegella

    JamiiForums Tanzania Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

    chakii kwani ndiyo Mara yako ya kwanza kusafiri kwenda mbeya? na kushauri subiri ndege za baba jesika zianze kazi...[emoji1] [emoji1]
  8. yegella

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Special Thread

    Powa mkuu...
  9. yegella

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Special Thread

    msimu uliopita ndiyo maana yupo kiiza, kesy, Mgosi, Majavi, yule beki rasta ambaye hayupo pia simba pia msimu huu hatutumii jezi za aina hii...
  10. yegella

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Special Thread

    Zinaumiza macho Mkuu..
  11. yegella

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yatoa fursa kwa Mawakala Mikoani kuuza vifaa vya Simba

    timu kubwa na mipango mikubwa...
  12. yegella

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Special Thread

    Hujui hata timu inayoongoza ligi...
  13. yegella

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Special Thread

    badirisha font color...
  14. yegella

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi anakula na nani?? Geita wameapa kwenda "Kuhiji" Chato

    upuuzi mtupu, yaani mtu anakwapua pesa tu, anaendesha shirikisho kama familia yake halafu unasema haliingiliwi...
  15. yegella

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    utaitwa kwa uchochezi...[emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom