Recent content by Yees Sir

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana Sana match zinazohusisha utopolo na makolo
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    Mkuu ila Bob alikuwa genius Sana Kwenye uandsh..nyimb Zak nying lazm zikutouch
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Dah ilikua noma Sana..Mara unune mara ucheke
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    No!Bob is King.Lyrical,Content n Presentation.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    Robert Nesta Marley.
  6. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

    Aya tabiri mzee na magoli yatafungwa na nan
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Duniani tunaota tu, sio Maisha halisi

    Hapa tupu umeandika huku unaota
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Yote kwa yote.makala ni nzuri
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Nahisi Hivyo Tu.Nimesoma Makala Nyingi Za Da Vinci ndani ya Jamii Forums So Nahisi ni Hvyo
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Mwandiko wa Da Vinci' huu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hakuna wabunge na madiwan wa chadema?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Ngoja nlale ntaendelea kesho...Maana Uzi wako umentia hasira kweli☹️☹️☹️
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Halafu ka mijinga vile inavyogombea madaraka maviongoz ya Africa utadhan haitokuja Kufa..shiiit😏😏😏
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Mtaona Ni mpumbav...ila Ili Africa iendelee Tena Kwa Msisitzo nasema TUNAHITAJI KUTAWALIWA TENA NA WAZUNGU.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Baada ya kufuatilia siasa kwa muda mrefu Sasa naona hakuna Cha chadema Wala ccm..wote mafisadi tu.hakuna yeyote Mwenye uchungu na nchi.Asilimia 99% ya wanasiasa na Viongozi Wote wapo kwa maslahi Yao Binafsi.Amini Nachokwambia....Ili Africa Angalau Ipate Maendeleo ya kufika hata nusu ya Ulaya...
Back
Top Bottom