Kununua chakula chako mwenyewe sokoni ukapika mwenyeo na ukala mwenyeo kuna biashara gani hapo. Muombe mungu yasikukute... uendelee kuyasikia tu kwa wengine.
Vyakula asili sio sumu ila watu wanachakachua sana... utalishwa tu sumu bila ya kujua
Badilisha mfumo wa kula... mfatilie dr boaz mkumbo youtube na insta na fb... unafundishwa kuacha vyakula vya sukari na uwanga kabisaaa na kula vyakula mbadala ambavyo vinavyotokana na wanyama na mboga za majani tu kwa muda wa miezi mitatu.... ukiweza kufanya hivyo utapona maradhi mengi sana...
Kupungua uzito
Kiuhalisia kwa sasa kuna formula za kisayansi kabisa ambazo zimeangalia mwili unatumia vp vyakula vya aina mbali mbali. Ili mwili uanze kutoa mafuta ya mwili... unatakiwa uzingatie yafuatayo
Mwili hutumia aina mbili za nishati katika mwili ili upate nguvu na joto..ambazo ni...
Mfatilie dr boaz mkumbo youtube kwanza upunguze uzito na kitambi.... ambapo itakuhitaji kuacha pombe na kuacha baadhi ya vyakula...
Ukiweza hilo tu.. mengine yote yanakaa sawa yenyewe... nguvu zitarudi vizuri tu.
ni ishu za vyakula tu hizo ila wengi wetu hatuamini kama vyakula tunavyokula kila...
Kama upo Dar es salaam kamuone Dr Boaz Mkumbo ktk clinick yake ya Nsambo health care ipo mkabala na spitali kuu ya mwananyamala vilevile anapatikana facebook, instagram na youtube kwa mafunzo yake.
Amebobea sana na maradhi yanayotokana na lishe mbaya pamoja na mtindo wa maisha.
Umepata kipanda...
Hakuna kitabu kilichoandikwa na binadamu yeyote.. hata wa israili... kama ni mfatiliaji wa masuala ya dini na kuamini imani husika... kila kitabu kimetoka kwa Mungu huyo huyo mmoja na ujumbe wao hua unafanana... ila kutokana na kupishana kwa muda mrefu na kutokuwepo njia za kuyahifadhi maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.