Recent content by yatima

  1. yatima

    JamiiForums Tanzania Aibu airport

    Umesema kweli kabisa. Ila usipate stress sana ndugu yangu ........................... Hivi umeshatafakari jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika sekta mbali mbali??? Hii inaonyesha kuwa ACCOUNTABILITY katika idara nyingi au vitengo vingi hapa nchini ni almost 0 ................. CHANGE is...
  2. yatima

    JamiiForums Tanzania Kafanya kosa gani??

    kalipiwa ada hataki kwenda shule .............. anakaa kijiweni kucheza bao/karata!!
  3. yatima

    JamiiForums Tanzania Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Hapo kwenye red ............. AiSHIE HAPO HAPO - KUPIGA WIMBO JUKWAANI .............. NEXT TIME ISIWE KUMPELEKEA PARCEL ................. CHONDE CHONDE .............. Dr. Slaa hataki parcels za Magamba kwa sababu.....................................................[anayeweza amalizie] just...
  4. yatima

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    Kwani wewe hujui yaliyompata Marehemu Mwangosi???? Saa ingine inabidi uwatoroke wauaji........ na Mungu ndie aliyempa huo upenyo ...........police wa TZ kuzingira mwanadamu mwenzao na kumwuua na kusingizia "kitu cha ncha kali kuwa eti kilirushwa" hawakawii .................. AFADHALI MUNGU KAMPA...
  5. yatima

    JamiiForums Tanzania Sugu and Rev. Msigwa

    At least WANAONEKANA WAKO SERIOUS ................ sio zile pics za watu wanacheza MDUNDIKO WAMEVAA NGUO ZA KIJANI NA MANJANO ............ NGOJA NIKASHONE MTINDO HUU WA MAGWANDA ......... UNAPENDEZAJE????????:bounce::bounce:
  6. yatima

    JamiiForums Tanzania Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

    weka fence ... ndefu ........weka na barbed wire ........ukiunganisha na umeme .......pia waweza weka alarm kwenye milango yako yote .........unai set ukilala otherwise fuga mbwa ... na pia kabla ya kulala OMBA HIVI> Katika jina la YESU ... JINA LIPITALO MAJINA YOTE ..... NAIWEKA NYUMBA YANGU...
  7. yatima

    JamiiForums Tanzania Je; Unahitaji Professional Bodyguard Au Detective Agency?

    [/B][/COLOR] Hapo kwenye red ........... nakugongea "LIKE" Umesema UKWELI KABSAAAAAAAA
  8. yatima

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

    Kabla ya kuteua .........WATANGAZE NAFASI ZINGINE GAZETINI JAMANI ........... NASISI TU APPLY ......... yaani sijui NITATEULIWA LINI ???????????????? :biggrin::biggrin::biggrin:
  9. yatima

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    usipate shida ........... dawa ya MDONDO kwa kuku wa kiswahili ni UGORO ...........unawachanganyia kwenye maji na yule anayeumwa .... unamshika na kumnywesha. Atapona. Pia anayeumwa mpe dozi ya pilipili .......nzima asubuhi .........nzima mchana .......... na nzima jioni. I tell you within...
  10. yatima

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ wajipanga barabarani kumlaki Salma Kikwete, Mlandizi

    mh! mie namsubiria tu 2015 ........... tutakutana tu saloon, supermarket na hata barabarani ........NINA HAMU YA KUMCHOMEKEA MIMI..................... hasa kwenye chalinze highway ....:msela: :msela:
  11. yatima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno ya mapenzi kutoka kwa mpenzi wako iliyowahi kukuacha hoi kwa mshangao

    Mh! sina usemi
  12. yatima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili za ushoga....

    :nod::nod::A S thumbs_up: Kweli kabisa ............ hapo kwenye red ............... utamwaona mwanaume MZIMA anaomba omba hela kwa wadada ......... anunuliwe lunch............anunuliwe juice ............ anunuliwe icecream ..'Oh hizi nazipendaga kweli" ... na eti huyo anajiona GENTLEMAN...
  13. yatima

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Digitek

    Ngoja tuende huko ofisini kwao tupate more and clear information ........... hapa JF naona ni malumbano tu information ya kutosha ZERO
  14. yatima

    JamiiForums Tanzania PICHA: Maisha matamu jamani - JK

    kumbe anakunywa maji ya dhahabu???? Nilidhani "USTADHI"
  15. yatima

    JamiiForums Tanzania PICHA: Dr. Slaa kwenye kikao na CEO Round Table - Kempinski Hotel

    Nimecheka sana .......... napiga picha ............. du ... TENA AKIWA ANACHEZA BAO KIJIWENI :laugh: :laugh::laugh:
Back
Top Bottom