Mtanzania anathaminika nchi nyingi za nje, mfano ukiwa pale dubei umesimama kituoni na m-Nigeria mkiwa wote mnaitaji taxi basi wewe mtanzania utapanda na m-Nigeria anabaki.
Sawa ni jambo zuri saana ila sisi kama wananchi tunamuomba Rais wetu hao watu kama ni wachina au wakorea au kabila lolote kutoka nje wanakawaida ukiwapa tenda wanapenda kumaliza mambo yote wenyewe ila ni sawa. Kilio changu ni kwamba na sisi tupewe fursa na uwezo tunao japo wa kuleta...
Tuelewe kua wale wote walotumbuliwa majipu dhumuni la mheshimiwa si kuwafukuza kz ila ni kukaa pembeni kwa mda ili apekuliwe lile jipu lilisababishwa na nn
Hapana mi nazani hawajaishiwa pumzi. Ni sawa na wewe unapomkabidhi fundi wako ulomuamini kiwaja,ramani uloichagua,tofali na vifaa vyote vinavousiana na ujenzi, sasa umekaa mbali na eneo unasubiria kukabiziwa nyumba yako. So naamini kua wote awo walotajwa apo tayari walisha command mambo yao na...
Wewe jiangalie hujui kua wewe ndo unaeanzisha udini hapo?. Iyo taarifa pia na cc tuliiangalia ila iliongelea mengi sana, mbona hujayaeka uwanjani zaidi ya ilo?acha kutuletea habari za kidini wewe. Inaonekana wewe ni mshabiki wa timu fulani na si azam na unaichukia saana azam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.