Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,253
Hili ni lazima liwekwe wazi ili umma ufahamu ukweli
zipo taarifa kwamba alikwisha timuliwa kwenye chama cha ADC , vyombo vya habari mbalimbali viliripoti na kila mmojawetu ni shahidi ( SAID MIRAJI UNAWEZA KUJA KUFAFANUA HILI ) , kwenye uchaguzi wa marudio ule uliokataliwa na wananchi na pamoja na dunia nzima mh huyu aligombea urais wa zanzibar kwa kulindwa na Mtukufu Salim jecha maana tayari alikwishatimuliwa na chama chake.
sasa utata wangu ni kule kuteuliwa kwake kuwa waziri kwenye serikali ya zanzibar ( sina ugomvi na uteuzi wake ) , lakini je ameteuliwa kama raia yeyote wa kijiweni mwenye sifa ya uzanzibar tu ama ameteuliwa kama mpinzani anayetokea chama cha ADC ?
Hili ni lazima lijibiwe ili tuujue ukweli na ili tuweke utaratibu wa kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyama vya siasa dhidi ya wanachama wakorofi wanaopuuza katiba za vyama vyao .