Recent content by Yasoda Rajab

  1. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii yenyewe
  2. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

    Umenifurahisha sana brother ulilia saa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kujitegemea

    Umefanya maamuzi sahihi ya kuanza kujitegemea, siku zote mwanzo huwa ni mgumu sio kwako tu hata ni wengi wanapitia changamoto. Naweza kusema afadhari yako wewe umepata uwezo hata wa kupanga chumba kuna wengine wanalala nje baridi mbuu ndio rafiki kwao! Kumbuka kila kitu hakidumu so hata...
  4. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Fuata njia hizi, mwanamke hakukatai ng`oo hata awe vipi

    Huyu aliyepost atakuwa mnyamwezi coz wanyamwezi hatuna R tuna L tuu:):)
  5. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake wenye makalio [hips] nene huzaa watoto wenye akili sana

    Mmmmh hiyo tafiti??? vp unaweza kutupatia source?
  6. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki

    Vp tena serio
  7. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki

    Yeyote wa kupeana ushauri, kuchati na kutembeleana if possible nitumie private message umri si tatizo. Maisha kujichanganya na watu katika different place si lazima mtoke sehemu moja
  8. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Tafadhari best usitake kunivunjia ndoa

    Sometimes inabidi kubadilika hata kama ndo asili au tabia tuliyojizosha Boyz and girls kuwa na michepuko mingi unajipalilizia natatizo kede kede kwann usitafute msichana ambaye au mvulana anliyekidhi vigezo unavyovitaka? Then utulie nae.
  9. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

    Wivu ni kipimo cha mapenz but kama ukizidi inakuwa soo si kwa wadada tu even if wanaume kuna baadhi wana wivu mmmmmh ni shidah. Utakuta mke katoka kidogo naye nyuma, story na Baadhi ya marafiki wa kiume mume anashusha kipigo daaaah its better to change
  10. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    :flypig::flypig:daaaa hii kariiii:flypig:
  11. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania Karibuni MUCE,a.k.a PEPONI.

    poa wakola karibu block 5 b13
  12. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

    we ndo pimbi kweli unadhani mi nimetunga unashindwa kufuatilia source.
  13. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

    hongera wewe unayeishi mjini too coco bruteee...
  14. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

    Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inategemea kukamilisha na kutoa majina ya vijana waliobahatika kupata mkopo wiki ya pili ya mwez wa kumi. hayo yalizungumzwa na mkurugenzi msaidizi kitengo cha habari cha heslb bwana cosmas mwaisombwa. alisema "hadi sasa upangaji umekamilika asilimia...
  15. Yasoda Rajab

    JamiiForums Tanzania heslb mbona kimyaaaa...!

    Jamani baadhi ya vyuo wameshafungua na vingine vinaendelea kufunguliwa wanafunzi wengi wanashindwa kuenda chuoni kufanya registration kwasabu wanahofu kukosa mkopo ambao utawawezesha kuendelea na elimu ya juu sasa sijajua sababu ya kuchelewa hivyo japo kuna vigogo wali post kwamba kabla ya...
Back
Top Bottom