Maisha ya kujitegemea

Maisha ya kujitegemea

tajiriboya

Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
15
Reaction score
38
natumain nyote wazima,leo nmeanza maisha rasmi ya KUJITEGEMEA.nna 21 yrs,nimechoka kukaa nyumban ,tuko watoto 8 na wote tunategemea baba,mzazi wa kike katangulia mbele za haki mwez uliopita.nimefika dar jana nmepata chumba nalipa 20k kwa mwez.jana usku nmelala kwenye mkeka nkaamka ucku wa manane nkapumzika kupoza maumivu ya mwili.

Leo nmetembea huku na huku bahat nzur nmepata daywaka kupandsha zege ghorofan.

nna iman ipo siku maisha yatakaa poa niwasaidie na wengne.mpenz nliyekuw naye kanidhihirishia kuw mapenz yet n ngum kushamir kwa sbb sitokuwa na uwezo wa kumtimizia mahitaj yake.mi sio king'ang'aniz nmemwambia ok unaweza kufanya utakalopenda sina maamuz mngne juu ya Hilo. sav ni 00:21 siku nyngne imeingia sijui kinafata nini.
 
Umefanya maamuzi sahihi ya kuanza kujitegemea, siku zote mwanzo huwa ni mgumu sio kwako tu hata ni wengi wanapitia changamoto.

Naweza kusema afadhari yako wewe umepata uwezo hata wa kupanga chumba kuna wengine wanalala nje baridi mbuu ndio rafiki kwao!

Kumbuka kila kitu hakidumu so hata unayopitia now yataisha cha msingi pambana Komaa kila unachopata jitahidi kuweka akiba anza kidogo kidogo mwisho wa siku utatusua tu!
 
Ushauri mwanana Sana huu
 
Hahahaa hongera sana,ni uamuzi mzuri unatakiwa ivo unatakiwa kuvaa ngozi za wagiriki choma meli moto kabisa
 
Nimetoka kutibuana na mwanamke hapa daa, nimeanza kuona kumbe wanaume wanaotoka kazini kisha wanaenda kukaa vijiweni sio wajinga.

Yaah, kijana komaa sex is not a basic need.
Ukipata haya, ukikosa haya..
Muhimu mkono ufike kinywani then unacheka maisha yanasonga, kwan nn...
 
Mkuu komaa maana changamoto ni kawaida utakumbana nazo nyingi tu,wala hazitokuua, nakumbuka kuna cku manzi mmoja tulisomaga wote chuo alikuja kuntembelea gheto akanletea zawadi ya tikiti maji, aisee nlikua sijanajana yote na cku hio pia nlikua sijalatangu asubuhi na nlikua sielewi moja wala mbili, basi alipoondoka nkalivamia lile tikiti nkala lote mpk likaisha aisee tumbo liliniuma hatari ilipopita nusu saa njaa ikarudi ikiwa kali zaidi ilipofika jioni nkaenda kula futari msikitini japokuwa mi ni mkristo ilikua ni mwezi wa ramadhani..ila mwsh wa siku yakapita saivi napambana na changamoto zingine so broo komaa tu
 
Nakukumbusha : Maisha ni safari!

Hatujui kesho ina nini ila hatuna budi kupambana kwa uwezo tulionao mkuu.

Amini Ipo Siku Boss.
 
natumain nyote wazima,leo nmeanza maisha rasmi ya KUJITEGEMEA.nna 21 yrs,nimechoka kukaa nyumban ,tuko watoto 8 na wote tunategemea baba,mzazi wa kike katangulia mbele za haki mwez uliopita.nimefika dar jana nmepata chumba nalipa 20k kwa mwez.jana usku nmelala kwenye mkeka nkaamka ucku wa manane nkapumzika kupoza maumivu ya mwili.
Leo nmetembea huku na huku bahat nzur nmepata daywaka kupandsha zege ghorofan.
nna iman ipo siku maisha yatakaa poa niwasaidie na wengne.mpenz nliyekuw naye kanidhihirishia kuw mapenz yet n ngum kushamir kwa sbb sitokuwa na uwezo wa kumtimizia mahitaj yake.mi sio king'ang'aniz nmemwambia ok unaweza kufanya utakalopenda sina maamuz mngne juu ya Hilo.
Usipende sana kuwatangazia watu shida zako au hali unayopitia hususani strangers, hawawezi kukusaidia chochote.

Bora wewe una gheto la Elfu Tsh 20, kuna watu hapa Dar wanalala nje.

Share na watu mapito uliyoyashinda pekee.

Mimi nilikuja Dar Kwa Train na Tsh 150 Mfukoni
 
Back
Top Bottom