Recent content by yasini msangi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Nitumie no zako nikutafute tuongee
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

    kiba sio wakushindanishwa na Mondi, na kama mondi asingekuwepo usinge sikia kiba akiwa kwenye chati kama huamini mondi atoeki sahivi kama alivyotoeka kanumba alafu uone kama utasikia kama utamsikia kiba akiwa kwenye chati , nisawasawa na watu walivyokuwa wanamshindanisha Rey na kanumba ...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kusimamia stationery

    WEKA NAMBA YA SIMU BASI
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matengenezo au ushauri

    nina desktop computer Lenova imegoma kuwaka ghafla . nikiiwasha inawaka ial haidispay kwenye monitor , na key board pamoja na mouse haviwaki , na nilijaribu kuifungua ndani nikakuta feni la kwenye processor halizunguki , je itakuwa na tatizo gani? na matengenezo yake yana cost bei gani?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Naitaji msaada wa kiufundi wa kamera

    ninakamera yangu inawaka ila haionyeshi kwenye screen ila inapiga kama kawaida , je itakuwa na tatizo gani na gharama za matengenezo ni bei gani?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa Internet cafe & stationery, wasiliana nami

    nipo magomeni kagera
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa Internet cafe & stationery, wasiliana nami

    Nina uzoefu wa zaidi ya miaka miwili, pia najua kufundisha computer application, ku-design, business card , id card, brochure, etc,
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana kahamia kwake kwa lazima na hataki kurudi kwao, afanye nini?

    alijaribu kumwambia poa nendo huko unakotaka kwenda , akamwambia mikiondoka hapa kwako siwezikuja kupenda tena na naona sina thamani ya kuendelea kuishi tena hapa duniani , ukiniacha wewe
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana kahamia kwake kwa lazima na hataki kurudi kwao, afanye nini?

    poa ushauri wenu utamfikia
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana kahamia kwake kwa lazima na hataki kurudi kwao, afanye nini?

    Alikutana na msichana wakatongozana wakapendana , wakawa wanawasiliana siku moja jamaa akataka kujua background ya msichana huyo, kwahiyo huyo msichana alimsimulia jamaa maisha yake kama ifuatavyo. Yeye ni mtoto aliyezaliwa peke yake kwa baba yake ila mama yake ana watoto wengine kwa baba...
Back
Top Bottom