Recent content by yasin finin

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Kuna NGO's kibao hazitoi ajira kwa waislamu.. Twendeni hivyo hivyo tutafika tu..
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Napinga Rais kuhudhuria Sherehe ya Simba

    Na wewe umeona utoe yako ya moyoni..!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

    Twende na episode 4.. Nimependa na ninaifuatilia story..
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Shoga kanaswa na Camera za polisi Jinsi alivyojibadilisha na kuwa mrembo

    MSAADA tafadhali. Siwezi kufungua picha HUMU.. Nifanyaje?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    HIVI NINYI Voda mnatuchukuliaje SISI wateja WENU? Bando la wiki la Tshs 20,000/= mnashusha MB KILA wiki!!! Naamini kimefika kipindi cha kuacha kununua bando.. YAANI hamjali hali ZETU kiuchumi!! Nipeni SABABU ya kupunguza MB kwa thamani ya PESA ileile..
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Sodoku.. Endeleza stimuli achana na binadamu wapingaji... Tunasubiri episode ziendelee..
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Jela.. SIO sehemu nzuri.. Na akupelekae kwa habari na mambo yanayozungumzika.. HUYO mweke KTK kundi la maadui zako wa kipindi chote cha MAISHA YAKO duniani..
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib (GSM) yeye kamsaidia Majaliwa. WEWE au Mtanzania mwingine anaweza kuwasaidia HAO wachezaji wazamani SIO LAZIMA Gharib.. Mwacheni Gharib aishi maisha YAKE!!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Donald Trump officially becomes Republican candidate

    Trump....kila la heri ktk njia yote kuelekea November....
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hose Mourinho..........karibu sanaaaaaaa......
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    IPTL ni mkataba wa kinyonyaji....haufai kabisa kuendelezwa,hongera sana Rais wetu.....
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Aneth Mwakilili kuwania tuzo ya wanasayansi wachanga duniani

    aisee...sasa huenda ukawa mwanzo wakupata wanasayansi Watanzania....bila wanasayansi ni ngum sana kwa nchi kuendekea....chukulia mfano Iran...leo inaheshimika duniani sababu ya wanasayansi wao...!
Back
Top Bottom