Mkuu, achana nae huyo. Nape uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo. Nakumbuka alivyosema siku moja akiwa katika mjadala star tv alipoulizwa kuwa kwanini ccm imejaa watoto wa vigogo ie. Mtoto wa Mwinyi, Yeye mwenyewe, Mtoto wa jk, Makamba, kn. Ili kuthibitisha kuw a akili yake si nzuri alijibu hivi...