This is unfair.....Kada wa CCM Sabodo akichimba visima kwa ajili ya wananchi hua tunampongeza...sasa iweje mbunge wa Iramba anunue pampu za maji kwa wananchi wake halafu tuite hicho kitendo ni upuuzi? Sidhani kama wale wanaofaidika na pampu hii watakua na mawazo kayo yako ktk hili kwani...
Umenikumbusha ule msemo wa John F. Kennedy! Issue hapa ni kwamba tusisubiri serikali itufanyie baadhi ya mambo bali kama yako ndani ya uwezo wetu tuyafanye!
Mkuu mbunge halazimiki kutumia fedha zake kwa maendeleo ya wananchi kwa sababu serikali ipo. Lkn kama serikali inachelewa kuleta hayo maendeleo na mbunge anaona hilo jambo liko ndani ya uwezo wake, basi ni vyema kama ameguswa afanye...sii dhambi bali ni mfano wa kuigwa
Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.
Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na...
Mi nadhani alikua na sababu ya kusema hivyo. Pengine mleta mada hakupata mantiki yake kusema hivyo. ngoja tumwite hapa jamvini aelezee kimaudhui alichomaanisha. It's better to hear from the horse's mouth!
Tehe.tehe..mbavu zangu...Du nimecheka sana. You have made my day. Ebwana kweli wewe Janjaweed!Suala la mke wa Ustaadhi (Tehe..) mimi hilo silijui na wala siamini alifanya hilo jambo. Mimi sii mgeni hapa jamvini Janjawd.Lkn niseme tafsiri ya jina langu sio hiyo. Du...ila nimecheka sana. Mimi ni...
Sasa hapa umefunguka vizuri! Labda niseme hivi, Nchemba hakusema kwamba akiba ya fedha za kigeni ni nyingi kupindukia, bali alionesha kumshangaa mchumi mwenzake (Zitto) kushindwa kuwasiliana na wahusika wa BOT wampe figure kamili ya foreign currency. Matokeo yake Zito alikwenda kwenye unupdated...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.